Tuesday, August 24, 2010

USIACHE KUANGALIA CLOUDS TV SIKU YA LEO its SUPER TUESDAY

Leo siku ya Jumanne kuanzia TATU kamili za usiku ndani ya CLOUDS TV kipindi changu kinachohusiana na mambo ya FILAMU kitaruka kwa mara ya kwanza kabisa.. hivyo kwa wale wadau na hata wasio wadau wa filamu plz dont miss kuangalia kipindi hiko kinachoitwa TAKE ONE ili tuweze kupeana maoni ya hapa na pale katika kuboresha zaidi.
Mbali na kipindi kuruka saa tatu kutakuwa na mambo mengi sana kuanzia saa mbili usiku ambayo yatarushwa LIVE KUTOKA MJENGONI ndani ya CLOUDS TV siku hii ya leo.. DONT MISS!!!
asanteni sana

14 comments:

Anonymous said...

yes bwana nimesikia kwenye leo tena.kila la kheri dadaa.kipindi kinoge.na sisi tuwazidi wanaigeria.si unajua better have targets.Let us(bongo) oour targets be Kuwazidi wanigeria.Nice day..

Anonymous said...

Duuuh, sisemi pozi hizo bibie...pouwa

Anonymous said...

mikoani clouds tv itafika lini??

Anonymous said...

Dada kipindi cha jana kilikuwa cha kawaida sana tofauti na nilivyotegemea. kwa kweli ulicopy segements za bongo movies ya kiria. Nategemea sana vitu tofauti toka kwako kwani najua uwezo wako . pili usikamie sana mambo

Anonymous said...

mmh we annony hapo juu utakuwa joyce kiria tu, hv we na zama sawa? sijaona hata kilichokopiwa unachokisema, kubali yaishe dada umefunikwa

Anonymous said...

u cute..........lyk ua show babie.....ts qlate

Anonymous said...

Hiyo C tv itaonekana hapa Arusha?

Zamaradi said...

Kwa wale waliouliza kuhusu Clouds Tv MIKOANI kwasasa bado wapendwa but soon nafkiri tutawafikia huko.. imeanzia DAR kwanza.. otherwise MUCH LOVE kwenu wote
PAMOJA SANA!!

Anonymous said...

Zamaradi, kwakweli mimi nakupenda sana. tafadhali naweza kukuona japo nikusalimie tu. I realy love u.

Anonymous said...

tht person aliesema umefunikwa ni mgomvi acha kukriet bif....

Anonymous said...

u know wat zamaradi u luk so cute and young and above all i lyk ua picture on front page of ua blog,i wish nione kipindi chako but mikoani amjatufikia bado..i luv u gal ..its ua friend n fun here Maureen.

Anonymous said...

Zamaradi, tunaomba updates za blog hii, mbona kimya?

Anonymous said...

update your blog gal..................lyk you alot

Anonymous said...

hi zama

Please mm ni mdau wako wa blog lakin
mshikaji kiasi flani unaboa bwana badilisha izo picha mshikaji tangu ramdhani mpaka leo? jitaidi kufanya changes ili utuvutie zaidi nampa sana big up Dina coz anajitaidi kuwa current. badilika mpenz. pole kama ntakukwaza
thanks Mamy