Monday, August 9, 2010

MAMBO YA JUMA NATURE na LIL KIM

Nature akiwa amekumbatia mtoto, It was one of the best SHOW kiukweli.. The combination ya LIL KIM na NATURE was the Best kwa uliekuja Fiesta utahakikisha hilo!!!
Lil kim akiwa na dancers wake...

Aliingia kwa style hii kabla hajatoa hako kamtandio ka-pink na kubaki kama anavyoonekana kwenye picha nyingine!!
Saaaaaaafi... Lil Kim alimmind sana kijana wetu na nyimbo zake.. kwa taarifa niliyokuwa nayo ni kwamba mwanadada ameondoka na COLLECTION kibao ya nyimbo za nature so huenda tutasikia lolote, just keep on waiting huenda kukatokea ka-collabo fulani kati ya LIL KIM na JUMA NATURE kiroboto... WANAUMEEEEEE!!!!


3 comments:

Anonymous said...

mbona hujaweka picha za msichana yule uliye twangana nae????????? halafu ibanie comment yangu, japo ujumbe utakuwa umefika

Anonymous said...

ok zama hiyo comment ni kwa ajili ya mwenzenu Dj fetty ungeweka nae picha yake hapo yeye km ni kioo cha jamii aone kitu alichofanya kama ni sahihhi au laaaaaah mnatia aibu

susso said...

da show realy rockx ma world,u amazin gaal,hivi cnt u drag mchomvu in ur show he wil be a delicious receipe in da food a mean tek 1