Saturday, August 7, 2010

LEO nikiwa katika INTERVIEW na LIL KIM...

Mimi pembeni kushoto na Lil kim Tukiwa katikati ya Interview iliyofanyika pale MJENGONI..

Kikazi zaidi

Hapa LIL KIM akiwa anaexplain kitu kwa msisitizo zaidi...

Kutoka kushoto DATAZ, MBOKA, JORAM NYAUMBA, MIMI ZAMARADI, LIL KIM,mwenye dreadlocks nyuma ni KANYOPA, ABUU na Brother SEBASTIAN MAGANGA
Tukiteta jambo kidogo na QUEEN BEE (LIL KIM)
Usikose FIESTA leo full kujipangusa.. Rrraaaaaaaaaaaaaaaa!!!

3 comments:

Anonymous said...

to be honest ur far far superstar than her...umemfunika...she's so plastic as u can c dat!!

Anonymous said...

shosti umependeza ila achia mwili kidogo. unaubana sana soap dish kuonekana sana sio fresh , na utapendeza tuu una shepu nzuri hata ukiongezka bado utapendeza

Anonymous said...

nywele mbaya yani wigi la kishambaaa