Wednesday, August 4, 2010

WANAMUZIKI WAKONGWE,KWAYA,TAARABU MUZIKI ASILI, NA MINGINE YOTE

Kwa wanaokumbuka majina tafadhali msaada

Kwa kizazi cha sasa wengi watamkumbuka mMarehemu TX Moshi tu hapo pichani aliye kifua wazi... MUNGU amlaze pema peponi.MAJINA YAO TAFADHALI KWA MTU YOYOTE MWENYE KUMBUKUMBU
Picha zote kwa hisani ya JOHN KITIME

1 comment:

Anonymous said...

HUYU HAPO CHINI NI MTU AMBAYE ALIIONGOZA VIJANA JAZZ KWA MAFANINIKIO,TULIKUWA TUKIMUITA CHIRIKU,NI MAREHEMU HEMEDI MANETI
NA NILIWAHI KUWA MWANAMUZIKI WA BENDI HIYO LAKINI HUYO BWANA MKUBWA SIKUMKUTA ALISHAFARIKI KABLA,HAO HAPO JUU NI KAKA ZANGU AMBAO NILIWAKUTA VIJANA JAZZ BAND,ANAYEPIGA GITAA LA BESS NI BAKARI SEMHANDO NA HUYO ANAYEIMBA NI FREDY BENJAMINI AMBAO WOTE NI MAREHEMU,SITAKI KUKUMBUKA MENGI NINA MACHOZI YA KARIBU LAKINI NILIFANYA NAO KAZI KWA KARIBU PALE VIJANA JAZZ BAND.MUNGU AWALAZE MAHALA PEMA PEPONI,AMEN.