Monday, August 16, 2010

GHOROFA YA UDONGO..

Tumezoea kuona maghorofa yaliyojengwa kwa matofali lakini hii niliikuta sehemu moja nikavutiwa nayo kidogo..
Hii inaonesha si matofali peke yake yanayoweza kujenga kitu cha namna hiyo hata udongo unajenga ghorofa kama unavyoliona hapo kwenye picha.. Saaaaafi!!!

4 comments:

Anonymous said...

dungu hilo zamaradii pwani hiyoo dadaaa ha ha h a chezeee pwani weweee eeeenh!

Anonymous said...

Du" hiyo kali sijawahi kuona gorofa la udongo, hongera kwa kutuwekea hapa na sisi tumejionea wenyeweee

Anonymous said...

kama hamjawahi ona ghorofa za aina hiyo karibuni lushoto, zipo nyingi mno hasa vijijini kote bumbuli, mnazi, mgwashi n.k km mnabisha muulizeni hata mwamvita makamba

MOJAONE said...

Hata mie nipata bahati ya kuona Ghorofa la udongo Pwani .. ujuzi mwingi.