PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
17 comments:
ahsante sana,tunaomba kuona picha yako basi katika hili libeneke lako.halafu naona post iko moja tu ndio jipya jipya nini?kwa jinsi ninavyokujua, my parception libeneke hili litakua
funika bovu.tunaomba habari za burudani kwa sana tu.
mdau saudi arabia.
Usijali picha zangu mtaziona tu.. Ni kweli hili ndio kwanza jipyajipya ila tegemea mazuri zaidi kadri siku zinavyokwenda...
Karibu na Asante sana.
mzima binti
mbona hii global yako ni ya watu flani tu ?!!!!!
unakasura flani hivi na vijilips flani hivi vitamuuuuuuuuuuu.
Congratulation Zam! You seem pretty smart!! Weneed you!
Congratulation Zam! You seem pretty smart we need you!!!
Hi Zamaradi,
Ur very very cute Zama, and ur voice makes me mad, I realy like to hear ur voice and see ur face every single second. I hope someone who is very luck does this. Please, keep on posting as many as possible photos of urs. Realy I admire u, I hope one day I will see u face to face.
Imetulia mdogo wangu kaza buti inshallah mbele utafika
Mzuri
HONGERA SANA.
jamani zamaradi hongera mamaa jitahidi wadau tupo mama.hiyo dress imekutoa bomba
naitwa amina zangira jamani big up zama kaza buti mamaa
mwaya jitahidi sana tuu mwendo ni uleule spidi 120.kwenye kona shaaa!!au unabishaa?
haina noma na nasema hivi wale wote wanaotaka kubanana nawewe waache tuu kwani najua utawabana na hatimae watasogeaaa tuu !unaju kwa nini watakuwa wamebanwaaaa!!hahahaha
hakuna wa kuna nana nawe kwani wakibanana lazima wataondoka tuu kwani najua utawabanaaa.hahahahaha
poaazzzz......mwanaaa hakuna wa kubanana na wewe kwani najua utawabanaaaa.ahahahahahaha
NEMESOMA POST ZAKO NA MAMBO UNAYOYASEMA NAONA UMEENDA SHULE NA UNAKICHWA JUST TAKE IN ON ANOTHER LEVEL, UKO FIT NA INDUSTREY YAKO KAZA KAMBA TU UTAFIKA NIMEPENDA THE WAY YOU ANALYSE STUFF
Za hapo juu Zinatosha kabisa nikiongeza nitaharibu....au si ndio!!!?
Post a Comment