Tuesday, February 23, 2010

VIWANJANIHapo nikiwa kwa Peter Moe.

Weekend yangu was so good kiukweli, Ilikuwa saturday nikaona leo ngoja nijichanganye kwenye Viwanja mbalimbali... Siku ikaanzia kwa Brother Venture pale Mzalendo pub, i had fun sana nikaona si mbaya sababu safari moja huanzisha nyingine ngoja nijivute kwa Peter Moe na safari ikaishia pale Zonghua Garden kwenye Grooveback.. It was FUN.

Anaitwa Shamsa Ford, one of the upcoming movie star.. Nae alikuwepo.

4 comments:

Anonymous said...

Nampenda sana huyu dada.
Huwezi hisi kama ana-act, utasema ni kweli.
keep it up Shamsa.

disminder

Anonymous said...

hongera zammy mpenzi 4 this blog..uwe unajitahidi kuupdate sasa maana wengine wanajisahau mpaka inaboa... love yo purple dress..

margy jo

Anonymous said...

wapi smile na unasema ulikua na wakati mzuri?

Anonymous said...

yo blog is amaizing, where have you been all this time, we missed all these nice stuffs. keep it up baby. Aggrey.