Monday, March 8, 2010

MSANII WA KIUME ALIEFANYA VIZURI 2009

STEVEN KANUMBA


Kupitia kura yako mtazamaji wa filamu, umeweza kumchagua kanumba kuwa muigizaji aliefanya vizuri zaidi kwa mwaka 2009 kupitia 'MOVIE LEO' ndani ya leo tena ya Clouds FM.

Hongera sana Brother watanzania wameona juhudi zako na tunategemea mazuri zaidi kutoka kwako kwa mwaka huu wa 2010.

Shukrani kwa WOTE walioweza kufanikisha mchakato huu na hatimae kupatikana kwa mshindi wetu, asante sana kwa wewe uliepiga kura yako na kumpendekeza msanii uliemtaka, sababu bila wewe hakuna ambalo lingewezekana.

Tuko pamoja.

6 comments:

Medahacker said...

yes kanumba anaweza kuchukua kwa kukosa mpinzani lakini tuzo za oscar za jana ziwe fundisho..kuwa msanii mkubwa na mwenye popularity kubwa hakumaanishi siku zote kwamba you are the best, kuna washiriki kibao chipukizi they are just nto considered

Anonymous said...

huyu jamaa ana movie nyingi au ni mwigizaji bora!

Anonymous said...

Anajitahidi sana katika kazi zake.
Aongeze juhudi na kutembea sana ili kupata mambo mapya.

disminder.

Anonymous said...

Na huyo ray ndio wangapi sasa

Anonymous said...

Hongera lakini usijisahau maana nyie nanyi kwa misifa mmezidi. mpenda sifa mwenzio yule ray ndio kawa wangapi?

Anonymous said...

Oyaa Hassan vipi juu hapo unalamba ice cream..