Wednesday, March 24, 2010

MASTAR WANAVYOJIACHIA BONGO.. FASHION POLICE: NANI KAFUNIKA.....???

Anafahamika kwa jina la SYLVIA SHALLY mmoja kati ya warembo waliofanikiwa kuingia tano bora ya Miss Tanzania 2009/2010


Akiwa ndani ya Boot nyeupe

Hapa akiwa katika pozi tofauti

IRENE UWOYA 'Mama ndikumana'


Uwoya akiwa ndani ya kiatu cha Draft.

ELIZABETH GUPTA

Ndani ya Simple gladiator

Elizabeth katika pozi jingine tofauti


Hii ni miguu ya wanadadiva wawili kutoka kushoto SHADEIYA ndani ya Brown boots and the one one with purple heels ni LOVENESS LOVE wa Clouds FM radio 'DIVA'


Hapa wakiwa wanaonekana kwa vizuri zaidi (SHADEIYA na LOVENESS LOVE)


King of the afternoon shows Hamis Mandi a.k.a B 12, B dozen, B twangala, B whatever men.B12 Akionekana full

The Top model FIDELINE IRANGA
Akiwa ndani ya Pozi tofauti
Kwenye swala la viatu FIDE alitokea kama hivi

Handsome Boy MWINYI MACHOZI, mwimbaji wa machozi band.

Na chini alitokea hivyo
Kazi kwako kuniambia katika hao nani alikukuna zaidi kimavazi.

8 comments:

Anonymous said...

Kina dada kanikuna zaidi Irine,
Kina kaka kanikuna zaidi Mwinyi Goha.disminder.

Anonymous said...

irene n mwinyi

Anonymous said...

yap wamewaka all of them!

Anonymous said...

Irene is the best bwana,hata diva nae nat bad she luks gud,kazi iko kwa uyo Sylivia mbona amevaa kama wale askari wa kikosi cha anga jamani?asirudie tena kuvaa ivyo na apunguze kuiga.

Anonymous said...

i can see lady gaga of tanzania(fide)..

Anonymous said...

irene looks fantastic minus the shoes....elizabeths style 2 unique i like it...boots kwa kweli for dar ni joto tu kwanza i dnt thnk boots are in season kwa kweli...fideline 4 a big girl needs to wear something more concealing...n watsup with her face? the rest look normal..nthn special

Anonymous said...

Fideline anachefua, otherwise wngine wako poa hasa Eliza is so simple.

Anonymous said...

eliza and b12...
eeeh,fideline please tafuta dress stylist....