Thursday, March 11, 2010

FILAMU GANI ILIKUSISIMUA KWA MWAKA 2009

Tumetoka kumaliza mchakato wa kumtafuta msanii wa kike na wa kiume aliefanya vizuri kwa mwaka 2009/2010 na sasa mchakato umehamia kwenye FILAMU gani ni nzuri kwako na
ilikusisimua kwa mwaka 2009 kulingana na vigezo vyako wewe..
Unaweza kupiga kura yako humu kwa kuniambia filamu hiyo ama sikiliza movie leo ya leo tena
jumatatu hadi ijumaa saa 10:45 asubuhi ndani ya CLOUDS FM kwa maelezo zaidi.
Kumbuka kwamba majibu yanatokana na maoni ya watazamaji na si msimamo wangu/wetu.

8 comments:

shelukindo said...

RAY KIGOSI

Mdada said...

RED VALENTINE: Yaani Wema she rocks me sana halafu ni mkali kuliko Irene Uwoya huo ni mtazamo wangu tu pls msije mkanigeuza mada maana wabongo nawajua.

Anonymous said...

Rudi Africa is the best

Anonymous said...

Movie ziko nyingi nzuri lakini nashindwa nitaje hipi kwa sababu nyinyi wenyewe watangazaji wa kipindi hicho cha movie leo ni wanafiki pili wababaishaji hamjui nini mnachokifanya huo ni mtizamo wangu tu na wala msiniundie tume

Anonymous said...

Rudi Afrika

Anonymous said...

Divorce iko sawa nadhani ni movie bora ya mwaka 2009

Zay said...

Jamani namsapoti anayesema Rudi Afika, haiko feki yani kama hizo nyingine filamu pendwa halafu zenye maujumbe na maisha halisi ya watanzania zinakuwa pondwa

Anonymous said...

Fake Smaile mie naiona nzuri sababu ni maudhui yaliyomo na wahusika walivyouvaa uhusika. Kizito