Tuesday, March 23, 2010

one eye

always ponder why all who take snaps close one eye and say cheeez.
anyone got an answer???

2 comments:

Anonymous said...

Zamaradi napenda kipindi chako cha movie leo na uchambuzi wako wa filamu mimi nimfuatiliaji mzuri sana ila ningependa pia kujua historia nzima yawasanii wafilamu tangu wakongwe wazamani kina mzee small, bichau, kipara, binyakomba, bishanga, tecla mgaya, kibakuli, muhogo nawengine wengi japo mkafanya mahojiano na hawa wasasa unajua cc washabiki 2napenda kujua wako wapi nawanafanya nini maana hawaonekani kwny game. Inawezekana bado wanakiu yakufanya maajabu hawaipati hiyo nafac, maana wasanii wakubwa km kina ray na kanumba wameteka ulimwengu wanadeal na mamiss nawanamusic tu wale wazamani niwasanii wazuri mno je kwanini wako kimya kulikoni? Embu watafute jamani? Mfano mzuri Kuna kipindi kimoja cha nigeria cha television kinaitwa BOLD FACES chamahojiano nawasanii nawatu maarufu kwaujumla mfano wasanii wa nigeria wakongwe nawanaochipukia, wanamusic, wanasiasa, wacheza mpira, mafirst lady, mamiss n.k kizuri sana unapata kujua wako wapi wanafanya nini? Yani mfano mzuri sana kuboresha blog yako mdogowangu fanya mambo nakuaminia uko juu

Zamaradi said...

Asante sana kwa ushauri wako. mawazo yako ni muhimu sana kwangu.. NTAYAFANYIA kazi.
Shukrani!!