Monday, March 8, 2010

MSELA BAADA YA BATA REFU

Nilimkuta kwenye kiwanja kimoja hivi akijidai, Jamaa alikuwa akicheza kila nyimbo no wonder mambo miguuni yawe kama unavyoyaona.
Baadae msela akanifuata akaomba dada nipige picha na nikaona si vibaya kumpa haki yake ya msingi. Akaamua kukaa chini na mimi nikamfotoa.

1 comment:

Anonymous said...

Bomba sana.


disminder.