Monday, March 15, 2010

EYO NICHEKI

Elizabeth Michael 'LULU'
Elizabeth akiwa katika pozi tofautitofauti

Anafahamika kwa jina la ELIZABETH MICHAEL ama LULU, ni mmoja kati ya watoto walioleta changamoto kubwa katika fani ya maigizo na filamu kwa ujumla akiwa ameanza fani hiyo katika umri mdogo wa miaka minne mwaka 2000. Kikundi chake cha kwanza kilikuwa Mbalamwezi sanaa Group na mwaka 2003 akajiunga rasmi na KAOLE sanaa Group na hapo ndipo kipaji chake kilipotambulika zaidi.
Mpaka sasa ameshacheza filamu nyingi tu zikiwemo Dangerous Girl, Family tears na nyinginezo nyingi na pia ni bado mwanafunzi wa KIDATO CHA TATU katika shule moja hapa jijini DSM akiwa anachukua mchepuo wa ARTS.
Pamoja na kwamba anafanya fiamu Malengo yake ya baadae ni kuwa MANAGING DIRECTOR wa kampuni fulani ama BUSINESS WOMAN.
Big up sana na tunategemea mazuri zaidi kutoka kwako.
6 comments:

kokusima said...

nakapenda haka katoto. Kweli kaigiza kwa hisia. big up mdogo wetu, endeleza gemu.

kokusima said...

nakapenda haka katoto. Kweli kaigiza kwa hisia. big up mdogo wetu, endeleza gemu.

Anonymous said...

Nampenda sana huyu mtoto.
ay ay ay jana tu nilikuwa naangalia movie ya 2 LATE!
Mtoto hodari sana.
Mungu amuongezee Inshallah.


disminder.

Anonymous said...

nipe number yke nimchek!!

Anonymous said...

KWLI HUYO MTOTO YUPO MAKINI ILA ASISAHAU ELIMU.BIG UP

Anonymous said...

Katoto kazuri haka. anaigiza vizuri sana. GO girl go...............