Tuesday, May 17, 2011

WEMA - MIMI NA BOB JUNIOR PEACE & LOVE!!, SIJAACHANA NA DIAMOND, CHALZ ANATAFUTA SKENDO KWA NGUVU KWAMBA YUKO NA MIMI ILI AANDIKWE KWENYE MAGAZETI...

Wema sepetu
Hii ni enzi ya mapenzi yao na Chalz baba
Wema na Chalz baba
Hapa akiwa na Diamond...


SIJAACHANA NA DIAMOND na SIFIKIRII HATA KURUDIANA NA CHALZ BABA
Hapo chini ukibonyeza ni interview niliyofanya na WEMA kuhusina na Kesi yake inavyoendelea kati yake na Bob Junior, Mahusiano yake na Diamond pamoja na mahusiano yake na Chalz baba, je ni kweli wamerudiana na Chalz baba!!???? kwa yote na mengine bofya hapo chini...

WEMA by zammyt25WEMA

23 comments:

janet said...

hakuna habari zingine?? wema wema wemaaaa ghrrrrrrrrrrrrgh

Ungujaukuu said...

TENA:
Gea,Dina,Husna,Zamaradi na timu nzima ya leo tena,huu ni ushauri wa bure.
Najua Clouds kama chombo cha habari,leo tena kwao kila jambo ni habari kwao.Nawaomba,mnapomtumia Wema Sepetu kama chanzo cha habari kwenu,esp juu ya matatizo yanayomuandama kila kukicha,nyuma ya pazia tumieni nafasi iyo kumpa ushauri binti uyo.Kwa utamaduni wetu ata kama Wema asingekuwa Miss Tz bado astahili kuishi maisha ya scandal zisizopendeza mbele ya jamii,Wema anaidhalilisha familia yake,hana good term na wazazi wake wawili,hii kama si lahana ni nini jamani?Mzee Sepetu ni mgonjwa kule Zenj,hataki ata kumuona uyu binti wala kusikia habari zake,bi mkubwa ndo kajichokea,anamuomba Mungu kila kukicha coz hajui nini kitamtokea Wema...mshaurini aombe radhi kwa wazazi wake wangali hai,kwani wahenga walisema asienfunzwa na mamae,ufunzwa na ulimwengu.

Anonymous said...

Jamani mimi nampenda sana Wema, yani sauti yake tu ina mfanya aonekane kama vile ni innocent! nimependa tabia yake ya kujishusha, hana mapozi. Kama ni madhaifu kila mtu ana yake sema tu ya Wema tumeyajua coz ni star. So kwangu mimi Wema nina mpenda sana hasa kwa tabia yake hiyo ya kujishusha.

Anonymous said...

huyu mtoto kwa Skendo, yaani anajitafutia mwenyewe.wanaume wangapi ameishatembea nao hadharani.
1.TID
2.KANUMBA
3.CHALZ BABA
4.DIAMOND
n.k
Anawatia aibu wanawake jamani. inabidi ajiheshimu kabla hajaheshimiwa. kutembea na wanaume kubao siyo sifa ni kujidhalilisha.

Anonymous said...

bunch of bullz crap!!msichana anaambiwa anachanganya lugha mbili kwa wakati mmoja watu wengine hawaelewi kiingereza,yeye hajamaliza hata sentensi moja anachanganya tena lugha.Lakini nimegundua ni utoto akikua ataacha,na mimi nilikuwa hivyo hivyo!

Anonymous said...

mmmh,wema kwa kidhungu tu mia kwa mia.anaongea vizuri sana na anajua kutamka matamshi,inaonyesha ni mtu ambae anajua kujieleza.

Anonymous said...

janet umeonaeee zamaradi anaboa jamani siku hizi kah?????? embu kwanza funga hii blog yako tupumzike maana huna jipya mama ni hayo tu

Pilly J said...

Zama mamito wengine tumejiunga na internet ambazo kiwango chake hatuwezi kuona video sijui utanisaidiaje wangu mana hii ya Wema niliikosa kuisikia kwenye leo tena afu ndo nataka kujuwa yaaaaaaaaan!

Anonymous said...

huyu mtoto keshashindikana muacheni aendelee na maisha aliyoyachagua, ebu angalie mambo mengine ya manufaa na maendelea kwa jamii hayo ni mambo binafsi hayahusu jamani mweh mi mnaniudhi.......

mwacheni said...

Nachomsifu wema kimoja tu huwa anajipanga wakati wa kuongea hakurupuki na wala halopoki,kuna cku moja alifanyiwa interview na clous ktk kipindi cha leo tena kuhusu kumchukua hartman kutoka kwa ant ezekeil,aliuliza ant eze aliongea pumba sana hadi nikajiuliza iq yake,alipoulizwa wema aliongea polite tu as if hakuna kinachozungumzwa juu yake,I like her style anajua azungumze nn,wapi,kwa nani nampa 5 but sipendezewi na mambo yake mengine cos yy ni kioo cha jamii.diamond hamfai and he is not her type may be anatumia msemo wa lv don't ask why?

mimi said...

zama upo juu, hiyo program bomba sana nimeipenda, keep it up.

Anonymous said...

vyombo vya habari hebu vimwache huyu mtoto jamani inatosha ana uhuru wa kufanya atakalo. na ni kweli kuwa kuna watu watatak kumtumia ili kujipatia vijisent. she a right to live her life the way she wants.

Anonymous said...

Wewe koma kumhesabia wenzio mwanaume mbona wadogo kwa mademu wa siku hizi
wewe ushakuwa na wangapi?
Au kwasababu yeye star, mwacheni babu kila mtu na maisha yake..........
Mimi penda sana wema akiongea ananivutia, anajiamini..........
Mtajijua wachimba chumvi

Anonymous said...

Dear Wema, wewe ni mzuri. Ukitaka furaha na amani tulia sasa. Wachana na hao ma-stars wa Bongo, watakupotezea muda wako na kukusononesha bure. Tafuta kijana wa kawaida (si star) single, mwaminifu, mwadilifu, serious, mwenye upendo wa kweli na mchapakazi ambaye atakuthamini na kukuenzi. Si hao ma-star ambao wanawatumia wanawake na kuwatelekeza kila kukicha. All the best. Mwanaidi.

Pilly J said...

kumbe unajuwa sababu ya wema kufanyiwa calculation ya wanaume n UMAARUFU wake sasa nn!!!na unaesema blog ifungwe kwan umelazimishwa kuingia humu zipo nying jichanganye huko km vp o msaidie kutuma Post na habar za burudan sidhan km atabania o nenda kafikilie msawaada wa katiba mpya nadhan utakuwa umefanya la maana...SIWEMA SEPETU (MANA SIYO WEMA TENA) AHACHWI AD ATULIE KAMA JLO....na wa mitaan km miye heka heka na GEA ipo kwa ajir yetu tukiarib tunaanikwa hii ndo freedom of expression kuna la ziada wadau..!!??

Anonymous said...

Ni kweli mwenzangu! wanamfuatilia sana jamani! tukiwauliza wasichana ambao sio maarufu kwamba wana wanaume wangapi watasema au kwa sababu huyo maarufu ndio maana mnamuona ana wanaume wengi? Sema tushajiwekea kwamba mtu ukitembea na wanaume zaidi mmoja unajulikana ni malaya, co hivyo jamani bado hajampata mtu ambaye anamuhitaji katika maisha yake ila kinachomdhalilisha ni kutembea na wanaume wa type ileile hicho ndicho kinachomcost. Ninachopenda kumshauri ni kwamba kabla hajaamua kudate na mtu mwingine angekaa kwa muda kwanza ili afanye chaguo sahii. Ni hayo2

Anonymous said...

Wakati mwingine msimlaumu Wema labda hivyo vitendo alivizoea tangu mtoto na siku zinavyokwenda ndio anazidi kupagawa.Kila mtu anakuwa na hobby flan sasa yeye kaona kuwa na wanaume ma superstar ndio dili hata yule Dogo anye act michezo Lulu ana tabia kama yake so its normal kwa watu kama hawa ndio maana anafanya haya mabo wazi kabisa cha kumuombea ni aepuke magazeti na TV kwani mambo hayo kashayazoea sana na anaya miss sana, pia wanaume mashalobalo ndio wakiona hivyo wanataka kutest zali kumbe kitu ni kilekile ila mapishi ndio tofauti.......

grace said...

Kama hakuna habari then hakuta kuwa na vyombo vya habari so habari ndo hizi!!!!!!
muhusika mkuu wema sepetuna mabwana zake.i hope anapata ankara kutoka kwa hivi vyombo vya habari mana vinamtumia sana na vinauza sana.i hope bank account yake iko shwari!! coz at the end dunia nzima iko kibiashara zaidi!!!!!

Anonymous said...

Kiswahi;fasaha sepetu ni kulega,au chepe, hutumika kuzolea chochote, huenda hilo jima linamdhuru, na hao wazazi wake hawana lolote, wamemlea na ndivyo alivyokua.

Anonymous said...

Mi nasema Wema ni Mjinga,si mtoto wala.Wanawake wangapi ni mastar wadogo lakini husikii kazururisha wanaume kwenye miili yao?Hao waliotajwa tu ni mastaa na akina jumbe choka mbaya?akinna lunenga waliomhonga u-miss Tz?
Hana tofauti na hawa mafisadi ambao hawaheshimu thatamni ya kuiwakilisha nchi Kwenye mambo flani
Kuna mdau ameilaumu media hapo juu,mimi pia nawalaumu sana nyie.Na franklin speaking,Zama swali ulilomuuliza Wema kuhusu Chalz baba limepelekea huyo Chalz kumtukana.Sometimes mkifanya interview digest impact ya swali utakalo ulizwa,ndo mana yule mtanagazaji Us aliachwa hewani na Chriss brown,coz of the shit qn

Anonymous said...

Mi nasema Wema ni Mjinga,si mtoto wala.Wanawake wangapi ni mastar wadogo lakini husikii kazururisha wanaume kwenye miili yao?Hao waliotajwa tu ni mastaa na akina jumbe choka mbaya?akinna lunenga waliomhonga u-miss Tz?
Hana tofauti na hawa mafisadi ambao hawaheshimu thatamni ya kuiwakilisha nchi Kwenye mambo flani
Kuna mdau ameilaumu media hapo juu,mimi pia nawalaumu sana nyie.Na franklin speaking,Zama swali ulilomuuliza Wema kuhusu Chalz baba limepelekea huyo Chalz kumtukana.Sometimes mkifanya interview digest impact ya swali utakalo ulizwa,ndo mana yule mtanagazaji Us aliachwa hewani na Chriss brown,coz of the shit qn

Anonymous said...

Wema akanywe kikombe kwa Babu Loliondo.

Anonymous said...

Kitu nampendea huyu dada anaonesha anaupendo wa kweli, sema tu hao mabwege wanamuangusha, ila ni kweli mnamsema sana Wema as if yeye tu ndo malaya sana mimi naona ni sawa tu kwani wanawake wangapi wanatembea na wanaume hata 20? hao tuwaiteje? sema wema kwa sababu anaweka hadharani ndo maana tunampoint sana ila she is very transparent ndo maana anaharibu..Shida ya wabongo tumezoea kuficha ficha sna mtu anawanaume hata 20 ila mtu unamjua mmoja tu..uzuri wa Wema hajatembea na mume wa mtu kwa hiyo muacheni yeye ni mtu mzima anajua anachokifanya ila cha kumshauri ni kwamba asiweke tu mambo yake hadharani basi....Go girl