PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
5 comments:
alafu wew Zama si ulisema utatuwekea ile intervew na chaz mbona kimya siku zote hizo? tuwekee bwana tunasubiri
Zamaradi Mketema:
Ninapoishi sijabahatika kupata mwaimbi ya Clouds tv,kwahiyo blog yako ndo ‘take one’ yangu....ni mdau wa burudani na leo ningependa kuzungumzia tasnia ya filamu hapa Bongo ‘’Bongo movie’’.
Baada ya safari ndefu sana ya harakati za kuipeleka tasnia ya filamu mbele zaidi,wadau wake wafaidike na ipate heshima inayostahili mbele ya jamii. Wadau waliafiki kuwe na chombo kitakacho waunganisha,lengo ikiwa na kuweka mawazo pamoja ili ata katika kushugulikiwa iwe jambo rahisi.Kumbuka huu ulikuwa ushauri wa aliekuwa mkuu wa mkoa wa DSM Mh Lukuvi baada ya kikao pale ofisi ya mkuu wa mkoa.
Jambo jema wadau wa filamu wanatakiwa washukuru kuona serikali ina kaa nao na kuwashauri jinsi gani itaweza kuwasaidia,shirikisho la watu wa filamu likaundwa na viongozi wakachaguliwa na shughuli za shirikisho zikaanza.
Lengo na kusudio la kukuandikia ni kwamba,yawezekana Mabig faza wa tasnia,kama wanavyojiita hawakuwemo kwenye uongozi,wametafuta mbinu ya kufanya sabotage kwenye shirikisho,wakaunda Bongo Movie FC. Zama,kwa uelewa wako watu wa filamu na timu ya mpira yenye shughuli za soka endelevu kama tuonavyo sasa,ili ndilo lengo lao au kuna jambo limefichwa hapa?ingekuwa busara kama ingekuwa club ya kujiweka fit tu na si kama wafanyavyo sasa na nisingependa kuzungumzia kiundani muundo wa hii timu,kwani kila mmoja wetu anajua uwezo wa wachezaji wenyewe waliopo pale.
Nahisi labda izi trip na posho za wadhamini zimewafanya wawe wasaliti wa wenzao,wao ndio walienda bungeni,wakaalikwa na Mama Tunu Pinda na mzee wa kaya JK,tamaa imewafanya wawasaliti wenzao,mwanzo lengo lilikuwa la pamoja lakini wao wameligeuza,jamani hamtaweza kuendelea kwa mtindo huu wa undumila kuwili. Kubalini yanayotokea,mmejenga tabaka kwani ata yule msanii aliyefariki kwa ajali ya kuangukiwa na contena mlishindwa kwenda kumzika kisa aliwaambia ukweli…aliyetayari ajifunze,jipu limepasuka;Namuomba Mwenyezi Mungu amrehemu mzee Amie Rajabu kwa kusimama kwenye ukweli.
Zama huyo Rehema Kimbu yuko wapi, Msalilmie sana nimesoma nae o'level Bwiru Girls Mwanza.
aunty ezekiel ana mimba au macho yangu?
baby madaha ungekuwa huna nguo ya kuvaa ungebali nyumbani tu.very dirty huyo rupe kafulia.
Post a Comment