Tuesday, May 24, 2011

MAMA NA MWANA.. IRENE UWOYA NA MWANAE (KRISH)

A new baby anaitwa KRISH HAMAD NDIKUMANA, mtoto wa Irene Uwoya siku hii ya leo utaweza kumuona live kabisa on TAKE ONE ambapo ataongelea experience yake ya Uzazi, maana ya jina la mtoto wake na mengi kuhusiana na mtoto wake huyu wa kwanza.. USIKOSE saa TATU KAMILI USIKU on CLOUDS TV.
Kimalezi zaidi.. mama na mwana!!!
Nikiwa na mtoto krish hapo... practise makes perfect so hakuna ubaya kuanza kujifunzafunza malezi kidogokidogo mapema.. lol!!!


He looks very Cute, kwa kumuangalia tu naona kama kafananafanana na mama yake hivi, sielewi kwa upande wako unaonaje coz mi sio mzuri kihivyo katika kufananisha!!!

HONGERA SANA IRENE KWA KUPATA MTOTO.. That's a very big step in Life!!! MUNGU akukuzie!!!

10 comments:

mama 2 said...

Huyu anafanana na baba yake, Irene Uwoya hana midomo kama hiyo. Hata sura yake iko kama round vile. Mi nahisi kafanana na baba yake huyo. Hongera sana Irene.

Anonymous said...

Please Zama tuwekee hiyo intervew yako na irene jamani, si unajuwa tena mgao wa umeme jana hatukuwa na umeme wengine wadau wako na hata sijui marudio ya take one ni lini! Baby boy wa Irene mzuri halafu ana afya sana nadhani kamzaa na kilo 4 na zaidi maana anaonekana mkubwa. mdau

Anonymous said...

Please Zama tuwekee hiyo intervew yako na irene jamani, si unajuwa tena mgao wa umeme jana hatukuwa na umeme wengine wadau wako na hata sijui marudio ya take one ni lini! Baby boy wa Irene mzuri halafu ana afya sana nadhani kamzaa na kilo 4 na zaidi maana anaonekana mkubwa. mdau

Anonymous said...

Hongera sana Irene,una baby mzuri sana

Anonymous said...

HONGERA SANA TENA SANA WENYE CHUKI BINAFSI KM H. BABA WAMEBAKI NA AIBU DUMISHA NDOA YAKO KWA MAPENZI BORA ACHA KUHANGAIKA KILA SIKU DAR KAA NA MUMEO MJENGE FAMILIYA YENU KILA LA HERI

Anonymous said...

NAJUA MMEFUNGA NDOA YA MSETO NA HAMADI NDIKUMANA BADO NI MUISALMU NA MNAPENDANA SANA KWANINI WEWE IRENE USIFATE DINI YA MUMEO ILI MUWEZA KUMLEA MTOTO WENU KWENYE MINGI BORA YA DINI YA KIISLAMU?

Anonymous said...

awesome,umlee katika malezi mazuri,namuomba allah akukuzie inshaalah

Anonymous said...

HUYU CSTA NAMPENDA SANA ILA TATIZO LAKE ANANIKERA KITU KIMOJA KUTOTULIA KWAMUME WAKE MUME ANAONEKANA ANAMPENDA SANA CSTA YETU HUYU SEMA ANAONEKANA ANAPENDA SANA KUISHI DAR.

Anonymous said...

zama siye wengine hatukuona kwaajili ya umeme pia sio wote tuna net nzuri tuandikie kama dada dina marios. pia uptodate kila mara maana ivi ikikaa ana ina boa . just ushauri

Anonymous said...

da csta irene bg up,yan i lyk u snaaaa n am yo mshabik wa yo movies unazo act.mhm jna la mtt ka la kiindi vile lina maana gan??itz RUTH FROM ST.JOSEPH ARUSHA.CONGRATS