Wednesday, May 11, 2011

LOVELY COUPLE... BABA JONII (ADAM MCHOMVU) na MAMA JONII

Anaitwa ADAM MCHOMVU (Baba Jonii) the brother from another mother akiwa na the longtime girlfriend AYSHA MCHOMVU (mama jonii)..

Hii ilikuwa ni Red Carpet ya kili Music awards this year.. Kiufupi Mama jonii anajua nini maana ya fashion huwa hakosei karibu mara zote ninazokutana nae, nafikiri hata hapo hali inajieleza!!!!

They look soooo good together kiufupi ni Nice Couple!!!!

7 comments:

Anonymous said...

thats nice zama kwa sasa unajaribu kutupa vitu vipya mapemaaaaa! hongera sana and keep it!

candy said...

yani huyo aysha ana last name ya adam as if ni mkewe au ndo concidence wote ukoo wao ni wamchomvu???
for sure alipendeza sana

Anonymous said...

baba jonii sipendi anavyoongea kwenye kipindi na yupo rafu sana sana!! ongea yake na mavazi plus mambo anayofanya ni tofauti abadilike aache utoto

Anonymous said...

Unajua mimi nataka niulize hivi movie ilijifyatua yenyewe au hapo kulikuwa hakuna msimamizi wa script, najua movie zetu tunafanya kwa ile style ya low budget basi hata director haoni hilo kosa kama ni la wazi kabisa, au huyo actor mwenyewe ndiyo hajui kama hilo neno halitamkwi hivyo, lakini labda nisilaumu ulimi unaweza kuwa tatizo kama vile sema ikawa thema, lakini kulikuwa na umuhimu kumpa muigizaji neno asiloweza kulitamka vizuri au kiingereza imekuwa fani fasheni ( fashion) basi mzee mzima makosa usiyarudie hayo zamaradi amecharuka atakuwasha tu, safi Zamaradi nadhani tunahitaji hiki kipindi. Bomoa bomoa,

Anonymous said...

holy crap!! hiyo dress ni ya kwenda nayo club na siyo kwenye official event.

Marko Silas said...

Oyoo chali ya r frm sanawari ya juu mtaa wawasambaa,a chumba katachumba BIG UP MCHOMVU PAMOKO SANA.Scaveve am out

Anonymous said...

jAMAA NI BONGE LA PRESENTER (ADAM MCHOMVU), MAMBO YA KUANZA KUJADILI THE WAY ANANYOONGEA HIYO SI POINT YA MSINGI KABISAA,NAMNA YA UONGEAJI NI NJIA MOJA WAPO AMBAYO HUWEZA KUTUMIKA KTK KUJITUFAUTISHA NA MTU MWINGINE KTK UWANJA HUO WA UTANGAZAJI. SO I LIKE WHAT UR DOING ADAM, KEEP IT UP MY BROTHER.