Friday, May 20, 2011

BREAKING NEWS: SHEIKH YAHYA AMEFARIKI DUNIA...

Kwa habari ambazo zimenifikia sasahivi ni kwamba mtabiri mkubwa Africa Mashariki na kati SHEIKH YAHYA HUSSEIN amefariki Dunia.. mpaka sasa bado sijapata taarifa yoyote kuhusiana na kitu kilichokuwa kinamsumbua lakini habari niliyoipata ni hiyo hapo kwamba mzee wetu huyo hatuko nae tena duniani...
kiukweli kabisa hakuna lolote la kuongea kwasasa, ila natoa pole tu kwa Familia yake yote na wote walioguswa na msiba huu... Tutamkumbuka sana kwa mambo mengi sana, MUNGU aiweke roho yake mahali pema peponi AMINA
INALILLAHI WAINA ILAIHI RAJIUNI
2 comments:

Anonymous said...

MUNGU ILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI, AMEEN

TABU said...

ALALE PEMA PEPONI SHEIKH WETU,AMEEN.