Wednesday, May 18, 2011

CHALZ BABA AFUNGUKA KUHUSIANA NA ALICHOKIONGEA WEMA SEPETU..


Muimbaji wa Bendi ya THE AFRICAN STARS Twanga Pepeta CHALZ BABA ambae pia aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na muigizaji ambae aliwahi kushika Title ya Miss TANZANIA kwa mwaka 2006 WEMA ABRAHAM SEPETU, amefunguka na kueleza mambo mengi kuhusiana na mahusiano yao hayo...

Na hiyo ni baada ya interview ambayo nilifanya na WEMA kwenye 'MOVIE LEO' siku ya jana ambapo alisema kwamba hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na muimbaji huyo, na hali iliyokuwepo kwasasa ni kama muimbaji huyo bado anamuhitaji yeye(wema) kimapenzi.

Baada ya habari hiyo kutoka chalz baba amekuwa mbogo na kujikuta akiongea vitu vingi sana ambavyo vina utata kidogo..

Ukitaka kumsikia Chalz baba usikose kusikiliza MOVIE LEO siku ya KESHO ndani ya leo tena ya CLOUDS RADIO saa NNE na dakika 45 asubuhi.

Kwa wale ambao hawatakuwa na Access na radio siku ya kesho nitaiweka hyo CLIP hapahapa kwenye BLOG na ukitaka kusikiliza alichoongea Wema juu ya Chalz, utabonyeza hapo chini..

10 comments:

Anonymous said...

HANA LOLOTE UYU NAE MTOTO WA USWAZI KUACHWA KUBAYA ETI OOH WEMA MWANAMKE GANI AMEJUA LEO MWANAMKE GANI. KWANI YE MWANAMME GANI LOOSER TU ALAFU MSHAMBA MSONYOOOOOO MXIIIIIIIIIIIIII

Anonymous said...

Huyu nae kwanza hana sifa ya kuwa na wema bwana gani, wema nae huwa haangalii watu wa kuwa nao, mshamba mkubwa huyu, mwanaume mwenye koromea huwa haongei sana, na nyie hasa wewe Zama, dina na gea hivi habari haiwi habari hadi mumuandike wema mbona wapo wasichana wengi tu wenye majina na wenye tabia mbaya au wema anauzika kuliko hao wengine nymbafu zetu, hebu nayie tutajieni wanaume mlio kuwa nao toka muanze kutiwa kama hawatofika chalinze kutoka dar, au kwakuwa wema ameamua kuweka wazi, acheni hizo hebu jaribuni kumstri mwanamke mwenzenu, umbeya umewazidi ndiyo maana gea na dina mmenenepeana kama puto, ukiwa mbea sana lazima mwili uongezeke,

Anonymous said...

JAMANI ZAMARADI MPENDWA TUWEKEE BASI YALE MAZUNGUMZO YA CHALZ BABA YA TAR 19 MAY KWENYE MOVIE LEO, WENGINE HATUKUYASIKIA VIZURI MPENDWA.

Anonymous said...

Zama plzzzzzzzzzzzzzzzz tunasubiri utuwekee clip ya chalz baba kama ulivyoahidi
nimesubiriweee sionichochote kilasaa naingia humu kuchek kama umeitupia sioni.
plzzzzzzzzzzzzzzz dear tuwekee

Anonymous said...

sisi wengine tupo mbali ,yaani hatupo chin i tz so st zam tuweke hzo videos za hao watu plzzz

Anonymous said...

anon wa May 20, 2011 1:23 PM yani noumer nimecheka sana. kutoka dar mpaka chalinze?? hizo zitakuwa pussy au vinu?

Zamadam said...

Bora hapo juu mdau umewachana live wadafada wa leo tena,kila siku Wema,Zama mpendwa nilishakwambia Wema ana radhi za wazee wake,na asie funzwa na mamaee ufunzwa na ulimwengu,Bob Junior amegoma kufuta kesi na kumbuka Wema alikiri mbele ya mahakama kosa la kumtolea matusi Bob Junior,hapo hakuna asiejua nini kitatokea....kabooooom kama gongo la mboto

Zamadam said...

Bora hapo juu mdau umewachana live wadafada wa leo tena,kila siku Wema,Zama mpendwa nilishakwambia Wema ana radhi za wazee wake,na asie funzwa na mamaee ufunzwa na ulimwengu,Bob Junior amegoma kufuta kesi na kumbuka Wema alikiri mbele ya mahakama kosa la kumtolea matusi Bob Junior,hapo hakuna asiejua nini kitatokea....kabooooom kama gongo la mboto

Anonymous said...

mdau uliyewachana umenifurahisha sana hawa wadada ni wambea namara nyingi wanapenda kuumbua wanawake wenzao ndio maana tukaambiwa wanawake hatupendani, kama Wema anakosea kwa nini msimuite mkamkanya kama mdogo wenu, kutwa kumnadi jamani iko siku na nyie mtakuwa wazazi je na watoto wenu mtawaanika kwenye maTV na Redio?

Anonymous said...

jamani me nafikiri ebu tuangalie issue zingine muhimu maana Wema inaonekana ni life style amejichagulia aishi hivyo so nothing we can do about kama jamii na isitoshe kuna watu wana have fun pamoja nae katika hiyo life style yake.Tunatakiwa tuachane na life style za watu tena ambao mnahisi mmeshindwa kurekebisha au mmetoa msaada wa mawazo mafunzo bila mafanikio tuconcentrate kwenye issue zingine unless kama kuna interest binafsi. LETS 4GET HER.Me huwa najiuliza sijui kama tunajali muda hii kuentertain hawa watu inaweza ikawa sababu kubwa ya kuwafanya wasijitambue ebu tufanye kama vile hawapo/Tuwapotezee wakati mwingine ukimya ni dawa nzuri sana labda kama yanayofanyika tunaenjoy but ukweli ukiwa kama mzazi/mwanajamii huwezi kufurahia hata kidogo.Mambo ya kupeleka hewani na yanayohitaji kupata comment za wananchi ni mengi kwa mfano shida ya maji kwa wanawake wengi wa Dar es salaam watu wanateseka, wanapoteza muda mwingi kuwaza maji,pia kuna ndoa nyingi zinavunjika watoto wanateseka ebu nawaomba tuongelee jamii tuachane na mtu mmojammoja tena aliyejichagulia life style yake.Warembo wapo wengi ambao tunaweza kujifunza kutoka kwao mfano tutafutieni DADA SAIDA KESSY.