Sunday, May 1, 2011

SONG OF THE DAY...

5 comments:

SIMON KITURURU said...

Bonge la Songi hili!

Anonymous said...

Zama kwakweli hii ngoma ni ya long ila imesimama huyu mwanamke mpk leo namkubali tena sn sn sn sn sn sn sn sn sn sn hasa kwenye DESPARATE HOUSE WIVES

Anonymous said...

asante Zama mdogowangu wimbo huu unaniliza kwasababu yamoment moja naikumbuka kipindi huu wimbo unatamba nilipata tukio sintakaa nisahau

Anonymous said...

Nampenda sana huyu dada toka nikiwa shule. Na imepelekea mpk nikampa mtoto wangu jina lake.. I love love love her... a huo wimbo ndo kabisaaa.... Dah! Basi tu

mwanaid said...

mie naipenda sana hii ngoma asante sana zama kwa kutuwekee nime-enjoy kwa sana mumy.
thanx