Friday, May 27, 2011

ALBUM YA LEO...!!!!!

Album ya leo ni mchanganyiko tu wa picha tofautitofauti ambazo huenda nimepiga siku tofautitofauti ama hata siku moja na watu tofauti tofauti kwa wakati tofauti pia.. na hizi huenda hazina maana yoyote ila ni for fun tu coz NAPENDA PICHA.. so kama unapenda picha join me na kama hupendi just skip nenda kwenye post nyingine haina mbaya....


Natamani kujua kupiga gitaa lakini tatizo hata kulishika tu ni mbinde!!!
Hapo nikiwa na Lotus kutoka Big brother..
Nikiwa na brother from another mother AD plus muite ADAM MCHOMVU a.k.a Baba jonii!!!

Kikazi zaidi sijui tulikuwa tunashangaa nini aisee.. hapo nikiwa na GEAH HABIB mamaa wa Hekaheka!!
With baba jonii katika pozi lingine...


Hiyo ndio album ya leo ambayo imejumuisha picha nilizopiga wiki hii though sio zote maana nikiziweka zote humu tutazidi kuchukiana.. LOL!!!


Wanasema HESHIMU MTU ANACHOKIPENDA, huenda kwako hakina maana lakini kwa ANAEKIPENDA kikawa na maana.. NAPENDA SANA PICHA na siwezi kuubadilisha ukweli coz that's me aisee..


na picha zenyewe ndio hizo hapo juu..FOR FUN jamani!!!


NAWAPENDA WOOTE mnaonipenda na kunichukia!!!!

13 comments:

mwanaid said...

picha nzuri,anayekuchukia shauri lee atajibeba,wajinga wajinga unawapotezea..
Nakupenda pia zama

lucy said...

hi zama,hope u good!hata mie napenda kupiga picha mbaya,kila nikipata opportunity ya kufanya hivyo huwa siipotezi.mfano ni jana2 nimepiga picha kibao,ilianza morning wakati nikielekea kwenye presentation room(yesterday was my dissertation presentation).on the way(within Ardhi University campus ) nikameet na my lecturer mr.simba,my classmates suzy and esther( ugandan)and several guys from kampala(valuers by proffession and former graduates wa Aru). 2kapata photos kadhaa.later on ,kwenye mjengo mpya (i.e land building) nikapata photos nyingine kibao with classmates,kushow ma2kio kadhaa yaliyojiri jana.it was a special day for me and my classmates cos it was our first marked dissertation presentation and i enjoyed it a lot though kulikuwa na stress za hapa na pale.kiukwel napenda sana kupiga picha ,i remember one day a guy from my class,told me this:lucy kwanini unapenda kupigwa picha ?unakaribia kufa nini? lakini nilicheka2 sikujibu.nadhani nimerithi hiyo habit from my late mother Josephine coz she used to take a lot of photos,mimi binafsi nina picha zake kama 50, not to mention walizonazo ndugu zangu wengine.so zama its not bad if you like to be taken photos,and dont feel guilty bcz i think its your hoby and its good to keep memories.have gdy!!

xtine said...

mmh na wewe hapo ju andika kitabu! comment fupi tu inatosha namna hi unatuchosha kama umeambiwa uchangie hoja? picha nzuri zama.

Anonymous said...

NIMEGUNDUA UNAPENDA SANA BLACK ZAMA

Anonymous said...

MMMH WEWE NA BBA JONII NI PICHA TU AUKUNA MENGINE MANA MMH

Anonymous said...

Zamaradi you look very nice with short hair... love it

Anonymous said...

dayuum,what r you doing posting pics with someones hubby/boyfriend all over you? Did you think before posting them? I suppose you wouldnt be ok if someone posted their pics with your hubby all over them even if they worked together,would you? think girl,think...worse you had the nerves to say you could've posted more but ppl were gon hate you. Try and be respectful to other women even if they havent got what you got..

Anonymous said...

Wewe mpumbavu kwelikweli, sasa ndo nini kumsema mwenzako laivu kwamba atachukia akiona picha zako na boyfriend wake. Hivi ungekuwa wewe unafanyiwa hivyo ungejisikiaje? Sikupendi hata kidogo na viguu vyako kama upinde au mshale wa kimasai. Ndo maana huna mvuto, domo baya ka bakuli la Samunge. Ndo maana hupati boyfriend wa maana. Huna cha kuposti kazi kuandika habari za wema sepetu kila kukicha. HUNA JIPYA WEWE FALA

Anonymous said...

jamani mbona chuki binafsi, nilivyoelewa mimi alivyosema tutachukiana kamaanisha kwa wale wanaochukia picha zake na sio za huyo adam mchomvu mbona Chuki binafsi, zamaradi go baby U rock, tunakupendaaaa!!!

Anonymous said...

Hivyohivyo viguu vyake ndio vinawarusha roho mjini mpaka mnamchukia, UKIUMIA LIMEKUGUSSAAAA.. dizaini zamaradi anawaumiza especially wewe ulieandika hapo juu, eti viguu.. kwa viguu hivyohivyo wanaume zenu macho yanawatoka kwake na ndiomana mnamchukia, zama mvuto unao mama ringa achana nao hao snitches wengine wake wenzio humo wana wivu tu wakijiangalia hawakupati, anaekufatilia anakuhofia, shauri yao babu, we kaza mama tuko pamoja, picha nyingine tafadhali, waburuze.

Anonymous said...

zama usiwajali hao wenye chuki binafsi wewe tuwekee picha na tuna enjoy na yunakupenda sanaa, pia picha zako na adam mchomvu mlipendeza sana. usiwajali hao watajibebaa!!

Anonymous said...

mmhuu! wabongo bwana upele umepata mkunaji,yangu macho,bt go zama!go gal

Anonymous said...

lol! haya makubwa haswa..lakini mi sishangai..sio kila mtu anafurahia maendeleo yako! kulikuwa hakuna sababu ya kubweka (yeah i dare say kubweka cause u post a hatress comment, u make people who read it imagine the look on ur face, when typing!) tena kwa maneno makali kiasi hicho. mwisho wa siku ukifikiria sana unajua tu...ah! HATERS! wamejaa kila kona..ukifanya vizuri roho inawauma hadi basi...ukiboronga watakucheka.. madai yao 'we knew it'...sijaona ubaya kwa picha zilizopigwa...na pengine ingekuwa tofauti kama maoni hayo yangetolewa kwa 'logic' no emotions...lakini ni wazi mtoa kashfa ana lake jambo...Big up Zamaradi..prof J once SAID....ili ufanikiwe unahitaji marafiki...lakini ili uendelee unahitaji maadui....wao ni chachu...so asante kwa kuwepo kwao..cause tHEY BALANCE RULE OF GAME! BIG UP GEL. D, Mikocheni.