Tuesday, May 3, 2011

BEYONCE AZOMEWA.. SABABU NI NGUO ILIYOMBANA SANA MPAKA AKASHINDWA KUTEMBEA!!

7 comments:

Anonymous said...

OMG wat was she thinking???????????? ivi wakati anatoka nyumbani hakuliona hilo???????? hata mie ningezomea bytheway huyo designer wake atajuta mana nae pia anastaili kuzomewa km si kunangwa

Robert Kiatu said...

Ilikuwa kama wanamsaidia mgonjwa! Te te te te..

Anonymous said...

Huyu naye amezidi kujishepulisha. Huko ni kutaka umaarufu kulikopitiliza

Selina-shirley Victor Mdemu said...

maskini beyonce wa watu mbona anajuta lol watu hawana dogo usikute ndio style yake ile utambee unangojewa ngojewa watu hawaelewi wallah kwa hizo 'booooo' zama ingekua mie mbona ningelia na kurudi home fasta aibuuuuuuu dada weeeeeeee

Selina-shirley Victor Mdemu said...

zama ingekuwa mie mama angu vile ckufichi ningelivua hilo jigauni hapo hapo speed 120 ningekimbiaaaje kurudi home potelea pote ucnipimie maana hii ss ni kutiana aibu mbele ya kadamnasi lol watu hawana dogo masikini beyonce wa watu mbona pole yake mwanadashosty

Anonymous said...

Makubwa,Ndio nini kujibana hivyo???Fashion zitatuua,Unajibana mpk miguuu,teh teh teh teh,Aibu gani hiyo Beyonce?Huna washauri dada?Zama mweyewe anawashauri uongo kweli?

Anonymous said...

Najuwa unaweza usipost hii comment lakini nawewew Zamaradi,umeweza kuandaa kipande cha kutoa elimu kwa waigizaji kutomix lugha na matumizi yake wewe mwenyewe unaweka picha katika blog yako iko mzungu wa nne!!picha hiyo ya kina Beyonce na Jigga mbona ipo up side down dada,haijatulia na plz kuweni makini tunasoma wengi wengine shingo zinauma.Kazi nzuri nwy kwa mahojiano ya HEMED-MTU KATI-LOCATION BOMBA NA MPANGO SAFI SANA