Wednesday, May 4, 2011

HAPPY BIRTHDAY DJ VENTURE... 'MDAU'

Naona watu wengi sana wamezaliwa mwezi wa tano na katka hao yupo brother kutoka hapa MJENGONI anafahamika kwa jina la Boniventure Kilosa maarufu kama DJ VENTURE ambae huwa anatusabababishia mambo mazuri pale MZALENDO PUB kila jumamosi katika ile FLEVA NIGHT....

HAPPY BIRTHDAY BROTHER.. mi huwa napenda sana kukuita MDAU kutokana na mambo yetu yaleee nafkiri umeshanisoma.. wish u the best and Be good always!!!!!

3 comments:

Anonymous said...

hujambo Zamaradi mdogo wangu? naona huna fasility ya chart au msg?Nilikuwa na kawazo kadogo najaribu kukuandikia maana sina email yako wala nini na vitu vizuri unaweza kuboresha kipindi chako cha TAKE ONE, pia nakwazo kadogo km katakufaa itakuwa poa ni kuhusu ktk kipindi chako cha TAKE ONE, nilikuwa nashauri au napendekeza uwatafute wasanii wa zamani kabisa ikiwa sisi km mashabiki tunapenda kujua wanafanya nini? wawe kwenye mahojiano tulikuwa tunawapenda wamepotea inamaana sanaa kwao haikuwa wito? mbona wametokomea cjawaona mpaka leo? Tunapenda kuwaona kwenye game bado mfano
(1) Sumbi (2) Bocha (3) Tecla mgaya (4) Waridi (5) Bi nyakomba (6) Bishanga (7) Kibakuli (8) Nyamayao (9) mama Bishanga (10) mzee small (11) Bichau (12) Ninna (13) Kemmy (14) Ketty nawenginewe. jamani walikuwa wsanii wazuri mno cjui kwanini hatuwaoni

mkereketwa said...

zama nawe tumekuchoka,mbona hutuwekei vitu vipya kwenye blog yako kila cku mambo ni hayo hayo tu,hata kama uko busy jitahidi bac jaman,haaaa inaboa kila cku ukifungua blog yako kitu ni kile kile,kama huwezi kuiendesha ifunge tu ili tujue moja.
Badilika bwana

Anonymous said...

Hata zama hana wito ktk kublog ni km anafanya kwa kuwa wengine wanafanya ndomana hata mail hajaweka, up dates mbovuuuuuuu mpk ajisikie au mumchokoe na maneno ndo ataweka ki2 kipya. Unawezasema upo bize ila ni uwongo mana wenzio wa clouds wooooooooote wanafanya updates wewe tu ndo umezubaa hata huyo Ruge au Kusaga hawapo bize ivo. Lux lyk hujali mafans wako wakati si ndo tunakuweka mjini wewe badilika mwili wenyewe huna kwanini uwe mvivu ivo? basi funga blog lol huyo venture hata bday ashaisahau we bado tu umeweka unabowa bwana