Wednesday, May 11, 2011

AUNT EZEKIEL AKIELEZEA UJIO WAKE WA DODOMA WIKI HII NDANI YA SERENGETI FIESTA FILAMU...Hapo juu ni AUNT EZEKIEL akielezea dhumuni la safari ya DODOMA wiki hii kwenye SERENGETI FIESTA FILAMU ambapo lengo kubwa ni kutafuta vipaji vipya kabisa kwenye filamu ambapo tulianza na mikoa ya Mwanza na Arusha na wiki hii ni zamu ya DODOMA ambapo tutakuwa pale ROYAL VILLAGE siku ya JUMAPILI HII katika usaili wa kutafuta waigizaji wapya kabisa katika filamu..
Kupitia CLOUDS nitakuwepo mimi nikiongozana na MASTAR wa filamu akiwemo AUNT EZEKIEL.. hivyo kama una kipaji cha kuigiza na una ndoto za kuwa STAR mkubwa wa filamu, tukutane pale ROYAL VILLAGE siku ya JUMAPILI hii hapa.

No comments: