Wednesday, May 11, 2011

NDOA YA IRENE UWOYA YAJIBU.. AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME.. KWASASA ANAITWA MAMA CHRISS!!!!!

Bongo movie star the sexiest Irene Uwoya amejifungua mtoto wa kiume siku ya Tarehe 8 mwezi huu (may) mwaka 2011 katika hospitali ya REGENCY hapa hapa DAR ES SALAAM, anasema kwamba anajisikia furaha sana kupata mtoto kiasi kwamba hawezi kuelezea..
Anasema ndoto zake siku zote ilikuwa ni kuwa na Mtoto hivyo kitendo cha kupata mtoto kimemfurahisha kupita kawaida...
Anasema pamoja na kuwa mama haina maana kwamba ameacha game (filamu) alichosema ni kwamba yeye bado yupo kwenye game ingawa kwasasa anaconcetrate kidogo kwenye swala la malezi lakini bado yupo kwenye game!!!!

Kwa habari zaidi na ukitaka kumsikia yeye mwenyewe akiongelea hilo.. Sikiliza MOVIE LEO siku ya kesho saa nne na dakika 45 asubuhi ndani ya CLOUDS FM RADIO.

HONGERA SANA IRENE KWA KUPATA MTOTO!!!!!

4 comments:

Anonymous said...

waaaoo! hongera Irene kupata mtoto inshaalah mungu akukuzie

Anonymous said...

Hongera mama chriss, karibu kwenye malezi, mimba si kazi, kazi kulea, karibu sana mama.

Anonymous said...

uhhhhhhh.............hongera mama mwenyezi mungu akukuzie mwanao. waliozoea kusema na wafungue midomo sasa kama wanalo la ziada.

mwanaid said...

hongera sana irene kwa kupata baby boy,inshaalah mungu akukuzie na umlee katika malezi mema