Tuesday, May 10, 2011

NI KWELI KWAMBA WEMA NA DIAMOND WAMEACHANA!!!??????

Hii ni habari iliyotoka kwenye gazeti la Global publishers ambapo siku chache tu kabla ya habari hii, WEMA alitoka kuelezea how much wanapendana na DIAMOND!!!!Juzijuzi tu hapa WEMA SEPETU alijitokeza hadharani na kuanika uhusiano wake wa kimapenzi na Diamond kupitia TAKE ONE ambapo aliweza kueleza mengi sana kuhusiana na mipango yake na Diamond kimapenzi na kimaisha, lakini ghafla metoka habari kwamba WAWILI HAO hawako pamoja tena...
Je ni kweli kwamba wameachana ama ni maneno tu..!!??

kwa habari zaidi stay tuned kupitia blog hii hapa kama ambavyo uliweza kumsikia kwa mdomo wake basi atakupatia majibu yako yote kupitia yeye mwenyewe tena muda si mrefu....Is that Love gone bad!!???

15 comments:

Anonymous said...

wema nae kazidi kashfa kwa nn hafati nyendo za warembo wengine kama kina HOYCE TEMU >MIRIAM ODEMBA;JOKATE ;faraja kota na wengine wengi hawana tabia za wema. ahahhhaaa wema na lulu mmh sijui ni mdogo wake!

Anonymous said...

WAMEACHANA!!!!! ANGALIA RELATION STATUS YA DIAMOND FB NDO UTAJUA WAKAT WA KIPINDI CHA LOVE DOVEY ILIKUA IN RELATION WITH WEMA SEPETU!

Anonymous said...

wewe nawe usituzingue bana kama huwezi kuleta habari acha tafuta kitu kingine ufanye, umetuambia kwenye leo tena unatuhabarisha, hukusema sasa unasema stay tuned ishia zako bana mbona gea haogopi kuleta heka heka live wewe sijui vipi? au ndo ushalewa ustar na wewe aggghrrrr hasira sikupendi tena nilkuwa nakupenda lakini wapi tupa kule, updates zako za mnato kama nini sijui aaa

theksheezle said...

kama umpendi 2naompenda bado 2po na 2na subiri kwa hamu huo buyu, kama imekukera live her alone.

Anonymous said...

Naona kwenye blog yako sasa hivi huna jipya zaidi ya kufwatilia maisha ya watu
Na wewe ukiachana na bwana wako uandike ukirudiana naye pia useme
Mbona mnapenda kumfwatilia wema muacheni na maisha yake
Kila mtu ana maisha yake aliyochagua duniani
Angekuwa hatembei na mastaa msingepata skendo, ila kwasababu wanaume zake wanajulikana basi
Hebu tutafutie habari acha umbea
Kuwa mbunifu

babygati said...

hahahahah my dia zama fanya vile unavyojisikia achana na huyo jamaa hata asipokupenda wangapi 2nakupenda ebu 2pe habari sisi bwana

Anonymous said...

haya tumeona, hii habari itakaa mwezi, asante

Anonymous said...

zama achana nao hawajui mastaa kuandikwa au kuongelewa kwenye vyombo vya habari ni kwaida kama hawajui hilo wajiulize wanapata vp news za mastaa wa nje?lazima wafatiliwe

Anonymous said...

Habari za mastaa na maisha yao ndo tunataka sem ujitaidi basi kuupdate mana mpk uchokolewe maneno weeeeeeeeeeeeeeeee ndo uweke jipya

grace said...

hao hovyoooooooooo achana nao!!!!watabadilisha wangapi utawaandika mara ngapi.

Anonymous said...

zama wewe tupe habari za mastaa hawajui ndio kazi yako usipothabarisha wewe nani atatupa hizi habari achana nao hao ambao hawakupendi sisi tunakupenda na kama si wambea wamefungua ya nini blog yako!! tupe habari tunazipenda hizo.

Anonymous said...

zama tupe habar za mastaa! achana nao hao wanaoponda tena wanabahat mastaa wa bongo coz kwa wenzetu wakitoka tu hata kushoping kamera kibao na waandishi wa habari wakimzonga kutaka kupata habar . Nafuu na bongo kwanza wengine tunakutana nao kitaani maduka wanayofanya shoppin ndo hayohayo changanyikeni sio kama wenzetu na bado tunapata habar zao. zama tuletee khabar

mwana said...

I wish hiyo couple isiwe imevunjika coz ilikuwa ina malengo meeengi.
jamn tulieni wema na diamond basi nataka niwaone cku moja mnaoana mnakuwa mke na mume.

Anonymous said...

lakini zama blog yako na vipindi vyako ni vya kimbea mbea sijui wewe ni wauswailini kama dida maana huna habari za umakini sema naakwako tuyajuae ulivyo fanyiwa kwani sisi hatujui au kwa vile hatuna blog

Anonymous said...

Mmmh makubwa madogo yana wenye big up zama