Wednesday, May 4, 2011

VAZI LIPI LIMEKUVUTIA ZAIDI!!!???? The Knowles-Carters Celebrate Alexander McQueen’s Legacy With The Beautiful People Of NYC....

Beyonce na Jigga (jay -z) .

Pamoja na kupendeza kote lakini hili ndilo vazi llilomponza beyonce ambapo lilionekana kumbana sana kiasi cha yeye kushindwa kupanda ngazi na kutembea vizuri na kasababisha kuzomewa.. (cheki video chini)
Marc Anthony na J-lo
John Legend na Christine teigen
Jennifer hudson na Vera Wang
Jessica Alba akiwa na Cash Warren

Janelle Monae na Bruno Mars
Alicia keys na Swiss Beats
Fergie na Josh Duhamel
Marc jacobs
Lala Vazquez na Carmelo Anthony
Karl lagerfeld na blake lively
Kanye West na Lyor Cohen
Vazi la nani limekuvutia zaidi katika hayo yote hapo juu!!!????

15 comments:

Anonymous said...

Marc jacobs hilo vazi lao limeniacha hao kabisaaaaa

mwana said...

Nimependa alivyovaa alicia keys,very decent i real lyk it

Aikande said...

dah alicia keyz katishaaaaa,much respect to her

Anonymous said...

jlo kanikuna sana.

Anonymous said...

mimi nililipenda la rihanna,lina kama lace ingawa hukumuweka

Pilly J said...

bila shaka kivaz cha J.Lo sio kwasababu amechaguliwa kuwa mwanamke mrembo na jarida fulan hapana,but naona linampa uhuru na nafas ya kujiachia atakavyo,colour and da way lilivyo it's soooo cool...

la JLO ni mzuka sana...

Anonymous said...

Beyonce anavaa mavitu ndani ku-boost hiyo eight figure. Mbona akivaa nguo nyingine, hiyo nane yake hatuioni. Ana shepu nzuri sana lakini ni mjanja pia. Nimesoma kwa Shamimu kwamba waandishi wa habari walikuwa wanamzomea kwasababu hata kutembea vizuri alikuwa hawezi.

Anonymous said...

Sorry zama, walahi nilicomment kabla ya kusoma the following message. Vey sorry

Pilly J said...

Sorry zama, walahi nilicomment kabla ya kusoma the following message. Vey sor
kwi kwi kwi umekurupuka maskin pole mana nimeshangaa hati inakuaje unaanza kudis!!!

Anonymous said...

jonnele

Anonymous said...

kati ya yote nimependa la Bruno mars and Janell and Marc Jacob very nice one.by 3