Sunday, May 1, 2011

GOLDEN MOMENTS na SERENGETI FIESTA FILAMU... TIME TO SHOW LOVE...........!!!

Hapo nikiwa na wawakilishi kutoka SERENGETI.. time to show love!!!
Kama kawaaz... kushoto anaitwa Hamisi kutoka serengeti, mimi hapo kati(zamaradi mketema) na brother mwingine kutoka SERENGETI!!
Uncle hapa alinifata akaniambia mke wake ni mpenzi sana wa kipindi changu (TAKE ONE) na ananipenda sana.. hakosi kabisa kipindi!!!! Shukrani sana kwake na kwa Fans wangu wotote.. NAWAPENDA SANA!!!
Hapa nikiwa na warembo kutoka Arusha...
With Hemed.....
makini na kazi!!!! Hapa kuna mtu alikuwa ananiacha hoi sana

Uvumilivu ulitushinda, kwa vituko vya humo... huwezi kujizuia, utajikuta unacheka tu!!!
GOLDEN MOMENTS!!

7 comments:

Pilly J said...

kwii kwii kwii sasa Hemed kushika hapo kwenye ...... ndo kusema keshezoea au...!!!atakuja piga picha na mkwewe afu atashika hapo!ma Gosh naomba aache puuuliz..!

Pilly J said...

kwii kwii kwii sasa Hemed kushika hapo kwenye ...... ndo kusema keshezoea au...!!!atakuja piga picha na mkwewe afu atashika hapo!ma Gosh naomba aache puuuliz..!

Anonymous said...

he he he wee mtoto nakuzimia saana.mtoto umechanga damu na watusi. unalipaq kweikwei. me love ya so machii

mdau akuzimiae doti comi

Anonymous said...

zamarad mbona leo hujaweka take one kwenye blig yako ?

Anonymous said...

Tafadhali Zamaradi hebu angalia Filamu ya DUNIA NYINGINE hususan kwenye tafsiri ya maneno ya kiingereza(sub titles) kuna makosa mengi sana,naomba ukiweza useme kwenye kipindi chako ili kusaidia tasnia yetu ya sanaa.Mchango wako ni mkubwa sana.Napenda uongee 'live' kwenye kipindi chako kwasababu tatizo hilo nimeliona kwenye Filamu zetu nyingi nadhani hawawi makini kutafuta watu waliobobea katika lugha na 'editing' ya kulipua.Inaniuma sana kuona makosa hata ambayo siyo ya kiufundi hasa nayo yakionekana waziwazi.
Tafadhali endelea kuwasaidia.

Anonymous said...

zam lace wig zuri sema mbele limekaa vibaya madear na hizi baby hair nindefu mno zinakufanya uonekane vibaya mtazamano wangu tu usifikirie personal

Anonymous said...

Mmmh mwenzangu lace yako imekukaa vizuri,mie nimependa sana my dia sasa sijui na mie nisemeje?Haya Mtazamo.Au labda sijui teh teh teh teh.