PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
5 comments:
Ohh Zamaradi so funny umenikumbusha mbali sana hayo mazingira wewe ni mtangazaji wa ukweli bwana
I like tha way are zamarad! asante sana zama kama utatuletea charlz baba ili tujue ukwel kwa wema anajisifu anadhani yeye akiwa na mtu basi huyo mtu atapata umaarufu kupitia jina lke? aache kujisifu!
zama wewe ni mtundu sana.
hahaha Zama samahani yaani naona kama unamuiga Salama zile pozi zake za kiunique na hata kuongea pia
haha ulimlipa ride hiyo?, ungemuongeza mtaji japo buku tano kaka wa watu muuza majani
Post a Comment