Wednesday, May 11, 2011

HEMED - HAKUNA MSICHANA ANAENIVUTIA KATIKA MASTAR WA MOVIE BONGO... HII NI MOJA KATI YA INTERVIEWS ZILIZOLETA GUMZO SANA HAPA BONGO...Hii ni moja kati ya interviews ambazo niliwahi kufanya na mastar wa movies na ikaleta gumzo sana, na hiyo yote ilitokana na majibu aliyokuwa akiyatoa HEMED kwenye maswali niliyokuwa nikimuuliza, na pia vitu alivyokuwa akiongea ambapo alizungumzia kwamba hakuna 'demu' yoyote anaemvutia yeye katika hawa wanaofanya movies.

Na pia kikubwa alichokuwa akitamani kuulizwa ni swala la wake za watu ambapo alisema wake za watu huwa wanamsumbua sana kimapenzi.. kuna mengi sana ambayo ameongea kupitia MTU KATI ambapo hii ni moja kati ya SEGMENTS zinazopatikana kwenye TAKE ONE ambapo hii ni sehemu ya kumjua mtu zaidi na vile tunavyomuona kwenye Movies..
Kwa MENGI ZAIDI.. Bofya hapo juu upate kumsikia HEMED.

18 comments:

SEBO said...

..Picture quality sio nzuri,kwakweli mmenidisapoint.Afu kitu kingine,with such backgroung nlitarajia camera person angemshauri Hemed avue hiyo kofia yake nyeusi kozi isingengeweza onekana unless pengine it was not your plan to have background nyeusi wakati mnadraft the whole interview thing.nimependa shots na the whole setup hasa ya mahali host wa kipind alipokuwa amekaa.Picture quality + Graphics sio kabisa.pia cameraperson na mtu wa light hawako serious na kazi zao.simlaum editor coz you never know pengine aliletewa footage yenye makosa mengi then akafanya alichoweza...I sebo

Anonymous said...

Mimi nadhani Hemed inabidi ajifunze tofauti kati ya kujibu maswali ya kijiweni na interview za kipindi kama hii.. He is nonsense anaongea pumba mpaka amenikera... sharo uharo stupid
MJINGA kabisa..! Eti mafanikio ni pamoja na kupata mademu.. lowlife kabisa.. kistaarabu pia hakutakiwa kumkashifu mlela yeye ndiye anayetafuta umaarufu kwa njia hiyo.. mshamba sana.

Anonymous said...

Dah Huyu jamaa nimjinga sana yani anafanya Sanaa ili apate madem baada kutafuta hela

Anonymous said...

get life man
ujinga mtupu
eti mafanikia aliyopata nikupata madem listen to urself
zama hebu tuondolee hii crap hapa

Anonymous said...

zamaradi to honest i love everything about u...tho ni vitu vichache sana vidogo vidogo vyakurekebisha ambavyo im sure kwasababu ndo tunaanza baadae mambo yatakuwa sio mabaya. ila pia nilikuwa nakushauri tu kabla ya interview uwe na angalizo kidogo na mtu unayemuinterview ili kuzuia habari kama hizi za hemedi ni hayo tu, ila show inafanya vizuri sana tu.

mdau
Boston

Anonymous said...

he z stpd..... lazima anpakuliwa huyo... hayo mapoz c ya mtoto wa kiume.... aje arusha asuguliwe huyo..

Anonymous said...

huyu sharobaro mbona haeleweki, si alishajitangaza kwenye take one kuwa amejiondoa kwenye moves sasa anajikita kwenye music, mbona hatulii huyu kijana!!

Anonymous said...

huyu mtu ni attention seeker.anajua anachokiongea pumba,ila anajua watu wataongelea,bora a act comedy,sehemu moja tu,ambayo kaongelea point tupu ni sehemu za filam zetu,subtitle,na matamshi yetu.sijui kwa kuwa wengine wameishi mikoani?hata sielewi.na lugha ya kiingereza kwetu bado ni zero.ni wachache mno huwa anatamka vizuri kwenye lugha ya kiingereza.kama wema sepetu,monalisa,na mmoja simkumbuki jina ila amefuga rasta,hemedi.kanumba na yeye ana matatizo ya matamshi.kunamove moja ali act na wema kama sikosei ni red valentine,kipegele kimoja alisema prostute badala ya prostitute

Anonymous said...

maninaa zako huna lolote hemed sikupendi mshenzi wewe mimi nakuonaga mshamba sana wee hujui maisha fala wewe kafe mbele huko

Anonymous said...

yani huyu hemed ni mpuuzi! kutwa kumuongelea mlela!kamwe huezi kumfikia mlela yuko juu zaidi yako.kaogeeeeeeeeeeeeeeee

Anonymous said...

dah umaskini ki kihali tu jamani...hadi mawazo...mueleweni tu huyu jamani sio kosa lake ni kichwani nadhani..tumpeni pole tu na kumwombea hahahahaha this is not even funny,he is full of rubbish thats what i can say coz seriously if you are a "supposedly" image of the society and your fans looks up to you particularly kids this is what you tell them?that your measure of success is determined by how many women u get?really?and u say umekua now?bruv get a life..its 4 ur own good,em sure one day like 10yrs from now you will look back and say damn was i that dumb?...its not ur fault tho..sad for u bruv but ur better than this..u idolize jessica alba but ushawahi skia interviews zake anaongelea kapata wanaume wengi coz of movies..tehe..sio mambo haya kaka we expect better from watu kama nyie.

Anonymous said...

naeza me nikasema kua sababu kubwa inayowafanya wazazi na walezi wengi waone hizi kazi za sanaa kwa ujumla(bongo fleva na uigizaji) kama ni uhuni.hii ni kutokana na image ambayo wahusika wake wanaipa fani hii kwa uvaaji, kujieleza kwao, n.k..kama hawa wasanii wangekua wanaheshimu kazi zao basi kwa namna tofauti basi ni wazi jamii nzima ingekua inawaheshimu pia...huyu jamaa kajibu utumbo sana katika hii interview,,he needs to grow up kwa kweli...naamini kbs kua huyu jamaa alikua na credits nyingi sana kwa watu kabla ya hii interview,,na baada ya hii interview amebadilisha mitazamo ya watu wengi sana juu yake na sanaa kwa ujumla!
)

Anonymous said...

Kiukweli anaboa sema sijui ndio hajitambu, yaani me namwambia bado sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Uzuri wake aupeleke kwa mama yake mzazi.

Anonymous said...

dah jamaa anajisikia kinoma, anachoongea wala akijui anaongea nini, na nikweli mabint ndiyo wanaangalia movie zako tena wale wafanyakazi wa majumbani, wakishamaliza kusafisha nyumba wanaangalia movie zako, jamii ya kipemba na kiaarab, yenu yote ni kuhusu watoto wa kike dah jamaa kama mie ni director wa movie achezi nyingine yoyote maana anaweza sababisha nisiuze tokana na hii interview!

Anonymous said...

THIS GUY IS A retard..!

Anonymous said...

hahaha. du, kusema ukweli hemed unastahili pongezi. wewe ni shujaa kuongea upuuzi namna hii mbele ya jamii. jambo moja umedhihirisha ni kwamba wewe ni actor mzuri. no one can take that away from you. ni actor pekee ndio anaweza kuongea upuuzi kama huu bila aibu mbele za watu. leo nilikuwa nimeudhika sana lkn baada ya kuangalia hii i'm ok now.-mdau

Anonymous said...

Zamaradi ni mara ya pili kuangalia take one kupitia hii blog yako, sina hakika kama hiki ni kipindi cha kwenye TV, muhimu Jamaa bado haelewi nini maana ya kujenga jina lake, unajua kaanza na dongo kwa akina dada/mama au wapenzi wake wa visiwani, kwangu mimi ile ni kuwa hataki movie zake ziangaliwe na wanawake wa zenji kwa ujumla wake kwani amejaribu kuongea kilevi zaidi na utoto mwingi, yale ni maneno ya kitoto/kilevi babu wa masharo baro "shame on you".
Suala la matamshi nimeongelea kwenye "bi honesti" ( be honest) bado tatizo siyo wasanii Hemed, tatizo ni hao hao waongozaji kwa ujumla wao.
Hao mabinti wanaotoka na khanga moja na kutaka kuoga kwenye bafu lako nadhani wamesikia sasa kazi kwao.
Anyway, napenda kuona kuwa unataka watu wawe watanashati na kuonekana wamependeza mbele ya macho ya watu, lakini Mlela ameingiaje pale , hap narudia tena acha ulevi na utoto kwenye macho ya watu hasa unapofanya kipindi kwenye TV ambapo watu wana pata nafasi ya kurudia kuona ni jinsi gani unavyoongea pumba chunga sana kupoteza umaarufu wako kwa kuchukiwa bila ya sababu kwani kama msanii jaribu kuwa chanya kwenye mazungumzo kuliko hasi au ndiyo za kibongo lazima ujipandishe chati kwa kuanzisha chokochoko na msanii mwengine ili akikujibu mpate promo za magazeti ya udaku, huko bongo mnajua zaidi.
Hizo za kusema mafanikio ni kupata mabinti hapo ni upumbavu kama ni mimi ni mwenye kipindi basi hicho kipande ningekikata kwa kukusaidia uonekane angalau una akili kidogo, nilitegemea labda ungesema kuwa sanaa imekupa ajira bila ya kutaja mafanikio, au sanaa imekufanya upate nafasi ya kuwa kioo cha jamii, kitu ambacho ni sifa lakini mademu, "you are stupid". Mwisho, Hemed
nakuachai mwenyewe na dunia yako unajua jinsi ulivyopanda chati kwahiyo labda unafuata njia ile ile.
Zamaradi, jitahidi kukipanga vizuri kipindi kwani usije kukosa watu makini kuangalia kutokana na majibu ya kipumbavu, jitahidi dada kipindi kiwe cha kuelimisha zaidi kuliko kuwa cha kidaku daku, ingawa nasikia bongo udaku ndiyo unauza. Nashukuru.

Namimih,;-)

Anonymous said...

sijui nianzie wapi? kajamaa kana maudhi yani hadi unajiskia kulia! hivi na hao madem hawajui kanma huyu si mwanaume bali ni matatizo? mafanikio kuwa na madem? yani nacheka kwa hasira!!!! na hapa wadada ambao anakuwaga nao wanajisikiaje na kauli zake hizo live? na bado kila mmoja kwa wakati wake ataendelea naye?!!! mshangao wa khali ya juu...kama ameweza kuropoka upuuzi huu hadharni hivi kawezi ku wa abuse akiwa nao faragha kweli/ mana anavyoropka ni wazi anaweza fanya lolote ambalo hakuna anayetegemea...yani haka kakijana ni kashamba jamani..mi sijawahi ona! MLELA yuko juu...ana heshma zake...na nadhani alishaacha malumbano naye siku nyingi kwani..ARGUE NOT WITH A FOUL, PEOPLE MIGHT NOT NOTICE A DIFFERENCE!!! nadhani hilo limetuonyesha tofauti....jamani Hemed......u are a shame to fellow modern guys, men, artists, infact u r a worst form of mankind of your generation, I SWEAR! U stink! PUUUUUUUUUUUUUH! na nyie wadada mnaompapatikia, mmesikia? ana mademu zaidi ya 13!!!!! hahahahahah...alamSiki!