Tuesday, May 10, 2011

TOP TEN QUOTES za ARNOLD SCHWARZENEGGER... NI QUOTES GANI UNAZIKUMBUKA KUTOKA KWENYE MOVIES ZA KITANZANIA!!!???Hiyo hapo juu ni misemo kumi ya Arnold kutoka movies tofautitofauti.....

Mara nyingi kwa hawa wacheza movies kuna msemo fulani ama kitu fulani ambacho mtu huwa anapenda kukitumia kwenye movies zake tofautitofauti, na hiko kitu huwa ni kitu kimoja ambacho huwa kinajirudiarudia mpaka kinakuwa kama IDENTITY ya mtu fulani...
Hapo juu ni video inayoonesha jinsi Arnold ANAVYO-SCREAM ambapo style yake ya kuscream n ileile kupita movies tofautitofauti.

Ni msanii gani wa BONGO ambae hupenda kutumia kitu kimoja ama MSEMO mmoja kwenye movies zake tofautitofauti, huenda unaufurahia huo msemo ama unakukera.. lakini swali ni MSEMO UPI ama KITU GANI kutoka kwa msanii wa BONGO ambacho unakijua huwa kinajirudiarudia kupitia MOVIES zake tofautitofauti....!!!???

7 comments:

Anonymous said...

beee honesitiii goooo hoooomuuuu

Hawa said...

Ni kweli Zama, kwa hapa Bongo ninaowajua kwa haraka2 ni wawili kuna RAY(Vicent Kigosi)ambaye anapenda sana kutumia neno "pumbavuuu"!! Mi kwa upande wangu wala sipendi hasa kwenye move ya SUPRISE na FAMILY DISASTER zipo nyingine yingi but kwa haraka2 ni hzo. Na mwingine ni CLOUD 112 (MUSSA) anapenda sana kutumia neno "are u sure" kwnye UKIWA, PIGO na SIGNATURE, zipo nyingne nyingi anapenda sana kutumia neno hilo!! Ila hanikeri na wala hanifurahishi, nipo between!!

Anonymous said...

Ok mimi ni ushauri tu natoa kwa msanii kanumba yaani moves zake nyingi anakuwa kama comedy hata kama ana hasira lakini anakuwa kama anataniana na hapo unatakiwa mtu uwe na hasira kweli, ajaribu kubadilika kwa hilo kama ni hasira awe serious kweli, ila ana act vizuri ila apunguze comedy.

Anonymous said...

Ok mimi ni ushauri tu natoa kwa msanii kanumba yaani moves zake nyingi anakuwa kama comedy hata kama ana hasira lakini anakuwa kama anataniana na hapo unatakiwa mtu uwe na hasira kweli, ajaribu kubadilika kwa hilo kama ni hasira awe serious kweli, ila ana act vizuri ila apunguze comedy.

theksheezle said...

hi zamaradi!!! mi si kubaliani na huyo anonymous said coz kukasirika si lazima ukunje sura bt kunaishara unaweza kuzionesha na m2 akaelewa uyu m2 kaka sirika hayo ni maoni yangu.
sipendi sana kanumba anavyosema mhhhh! hayo ni maoni yng jamani.

grace said...

wabongo hawana coutes hata kidogo wanaongea kama wanasoma.cant they watch other films and learn??any way zam umesahau anold schwarzniggers '' I WILL BE BACK´´.

Anonymous said...

JB HE USED TO SAY MOST OF THE TIME WHEN IT COMES TO SCENE...LOOK HERE...ACTUALLY