Tuesday, May 24, 2011

HONGERA MTOTO FATNA..

Siku ya jumamosi ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa ambapo alitimiza mwaka mmoja wa kuzaliwa kwake na wazazi wake wakamfanyia Maulid maeneo ya Sinza pale ambapo ndugu jamaa na marafiki tuliweza kujumuika kwa pamoja na kumpongeza binti huyo... HAPPY BELATED BIRTHDAY!!!!
Huyu ndio baba wa FATNA anaitwa Athumani Shaabani maarufu kama SUKA ambae ni kaka yetu kutoka hapahapa mjengoni Clouds FM akiwa Music department.
Mmoja kati ya ma-auntie wa Fatna, sikufanikiwa kupata jina lake!!
Huyu ndio mama mzazi wa Fatna anaitwa Zena nae tuko nae hapahapa mjengoni!!!
Hapo nikijifunza malezi kidogo, nikiwa na mama mzazi wa mtoto Fatna pamoja na Fatna mwenyewe..

Vijana kutoka mjengoni.. kutoka kushoto PETER MOE, ABDUL, ARNOLD KAYANDA pamoja na HAMISI SHAABAN TALETALE a.k.a BABU TALE a.k.a LAST BORN
Kama unavyoona itifaki imezingatiwa na watu walipiga mavazi kulingana na shughuli husika...


Nilijikuta nimempenda sana huyu mtoto jamani..!!!!!!!
Kama mzazi vile.. Hapo nikiwa nimembeba mtoto fatna nae katulia utafkiri yuko na mama yake..lol!!! Njaa haina Baunsa... Mwana FA akiwa ametoka kufakamia sahani ya Biriani.. na ilikuwa ya ukweli hasa!!!
I just love this photo... ni mwaka mmoja tu lakini anaonekana mjanja ajabu!!!
Na yeye ana mawasiliano.. Hongereni sana ZENA na SUKA kwa malezi na kufanikiwa kumpata mtoto mzuri kama huyo.. MUNGU AWAKUZIE Inshaa-ALLAH!!!

15 comments:

Anonymous said...

Badilisha lease weage tumelichoka
Mtoto kapambwa kama jini
Miwanja ile
Kumfundisha mtoto ushangingi
Sijapenda

Anonymous said...

Jamani mbona kama mtu mzima??????

middy said...

Jaman nimempenda huyo mtoto maashaalah,amependeza sana,nimependa alivyovaa hiyo hijab yake imempendea sana.yaan i really like it.
Mtoto mrembo maashalah

Anonymous said...

mtoto amependeza huyu maashalah i like the hijab,so cute

Anonymous said...

mtoto amependeza huyu maashalah i like the hijab,so cute

Anonymous said...

wanja si mbaya lakini hiyo hijab kwa mtoto jamani hata kama niwaislamu saaana hapana muda wake bado, anaonekana kama mtu mzima mwe

Anonymous said...

babu koma kumnanga mtoto hivyo huna haya,wanja sunnah babu kwa waislam tupishe sie.

Anonymous said...

aah acha majungu!ulitaka mtoto apambwe vp?amependeza

Anonymous said...

aah acha majungu!ulitaka mtoto apambwe vp?amependeza

Anonymous said...

huo utu uzima uko wapi??acheni hizo kwenye sifa mpeni sifa zake,kwani mtoto mdogo ndoo havai hijab?lol umechemsha.
mwaya dogo amependeza na hiyo hijab hadi raha,mwenye wivu ajininginize na Big G lol..

ustadhat said...

Mtoto Fatna amependeza sana acheni utani bwana hao wanaosema aahh cjui mtot karembwa sana,ooh cjui mtoto mdogo kavalishwa ushungi,jaman mbona amependeza kwa sana tena mie huo ushungi wake ndoo umenivutia sana.

Anonymous said...

kha mtoto wa mwaka mmoja unampaka wanja kama bibi kwakweli hapo mnatetea upuuzi mtoto mzuri kakini huo wanja ni BIG NO lol

Anonymous said...

tulitaka apunguze wanja sio kihivyo kama mtu mzima mtoto awache awe mtoto jamani hata mkisema sunna sio hivyooooooooooo


alafu jamani nauliza tu hivi huyu suka anatokea dodoma au alishawaki huishi dodoma sura yake very familia

SARAFINA

Anonymous said...

Mtoto mzuri, mlipendeza sana na shughuli yenu, wanaonanga lazma watakuwa hawajazaa, roho mbaya na chuki, ubinaadamu kweli kazi.

Anonymous said...

Jamani Suka punguza kujirusha mana umemuharibu mtoto lol! Kweli nimeamini wahenga walisema vya kurithi vinazidi!!! Mana mtoto alituacha hoi wageni wote kwa kucheza.

Aunt Mwanjy