PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
15 comments:
i had never seen mushiz son...atleast now i got an idea..he so cute....
Mushi kwa kijerumani ni sehemu ya mbele ya mwanamke, kama akienda ujerumani mazee watu watashindwa kulitamka hilo jina.
makubwa jamani lol Allen ana mtoto?????sikujua walai lol!!!!!! mbn wengine unawaficha???Zama umenifuraisha sn ngoja niwaambie watu kzaa wacheki hii picha na nilivombea we acha tu pengine niiprint ili niwafikishie ujumbe wooooooooote wasojua
iv alisoma nn apo ukutani ebu tuambieni nasi tujue...
Nimewapenda sana.soooooooo Lovely!!!!!!!!!!
watu wameshajua sema wewe ndo hujui! hivi wabongo bado tunaumbea? wenzenu wanatageneza pesa wewe unawaza kwenda kutoa habari kwa watu! eti jamaa anamtoto! kwani hadindi?
mama yake ni Sylivia?
ha ha ha ha alokwambia KUDINDA ndo kuwa na mtoto nani?????? grow up wewe afu cjui kwanini juu sio mara zote anasema pengine now amekuwa tayari thats why na picha katoa. sijui we ni nani au unamfaham vp allen na siwezi sema km namfahamu zaidi yako juu sikujui ila naisi kaelewa kwanini nieandika nilichoandika hapo juu.
eti wabongo bado tunaumbea we vp???? alikwambia wengine hawana nani???? dunia nzima kuna umbea tena ndo wenye kuleta maendeleo na pesa unazani m2 km shigongo napata wapi pesa ya ugali km si magazeti yake yaumbea??? tena wakati mwingine hata kuzusha anazusha habari
usiandike tu bora kuandika eti kudinda unajua katongoza au anatongoza wangapi bila kuwaambia km ana mtoto??????? ila kwa picha hii am proud tena sn hakuna ki2 kizuri km kuwa wazi na jambo km hili. mi namjua huyu toka KITENGO UGANDA na km allen mwenyewe ndo umeandika zen utakuwa wanipata
jina la mtoto ni JAYDAN not JAYDEN
c alimkataaga?kakua kamtamani?
hee kumbe hadindi ??? makubwaaaa.. nilikuwa sijui
Allan ni mtoto wa dada yangu kabisa,ila sisi hatujui kama ana mtoto,nimejaribu kumuuliza dada naye amesema hajui,mjomba naomba ufunguke tujue ukweli,mpaka sasa siamini,by uncle m.kimaro
allan Mushi nimesoma nae Hana Mixed uganda enzi hzooooooo kumbe mkaka una kadume hongera bwana.maureen
Post a Comment