Msanii Star wa filamu ambae alianza kuigiza akiwa na umri mdogo ameamua kufunguka na kuweka wazi kwamba ana mpango wa kwenda EUROPE kwa sababu moja tu ya kumtafuta JUSTIN BIEBER....
Nilipomuuliza sababu ya kumtafuta kama ni ya kishabiki ama ya kimapenzi alijibu kwamba ni kishabiki lakini lolote pia linaweza kutokea,Lakini hapohapo nikataka kujua kama amesahafanya juhudi zozote za kuwasiliana nae akasema kwasasa bado hapana ila anachotaka kufanya ni hiko kumuendea hukohuko kumsaka..
Kuhusiana na NAULI nilipotaka kujua amejipangaje LULU akasema atachangisha kadi kwasababu anaamini kitendo anachotaka kukifanya ni cha kimaendeleo na ni UJASIRI mkubwa kwasababu amejitosa kwenda kumtafuta mtu ambae hapatikani kirahisi hivyo ni USHUJAA..
kabla sijamaliza interview nae nilimuuliza lulu ikitokea bahati akakutana nae na mara itokee JUSTIN BIEBER nae amevutiwa na yeye KIMAPENZI, je atakuwa Tayari!!??? alichonijibu ni kwamba YANI BILA KUULIZA YUKO TAYARI KABISA na hilo sio swali la kuuliza kwani bila wasiwasi atafanya hivyo..
Soon nitakuletea CLIP ya sauti ya interview ambayo nilifanya nae!!
PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
14 comments:
WHAT? KWENDA EUROPE? Ninavyojua mimi Justin Bieber anatoka Canada na anaishi USA. Kwa mujibu wa ramani zangu, Canada na USA ziko Amerika Kaskazini (North America) na SI Ulaya (Europe)! Sister Zamaradi naomba umpe taarifa rasmi Lulu kuwa Canada na USA bado ziko Amerika ya Kaskazini.
hana akili huyu mtoto, akili zake amezitanguliza chini ya makalio yake halafu yeye anakaa juu yake. mwehu kabisa sasa anataka kwenda kuuzia nje ya nchi, maana biashara ya ndani imemshinda eee mh haya natumuone basi, na hao watakao mchangia hawana akili pia kama yeye
Hivi Zama tuwe wakweli jamani hivi unajua maana ya "MAENDELEO" n "USHUJAA"??anyway ni hayo tu mana najua nikiandika itakuwa gazeti humu..ila poa kila la kheri Lulu.
Unajua Zamaradi, ktk hii dunia tunayoishi kuna vichaa wa aina nyingi saaana na kwa taarifa yako kichaa sio lazima awe yule anayeokota makopo au kutembea uchi barabarani! Kila mtu humu duniani ana kichaa chake!! Sasa hicho ndicho kichaa cha Lulu. Tumhurumie tu wapendwa na tumuombee na ndoto zake za mchana hizi! Badala ya kufikiria namna ambavyo anaweza kujikwamua kimaendeleo yeye anafikiria tu mapenzi!!! Akumbuke kuwa ataheshimika zaidi na huyo Justin atampenda atakaposikia kuwa Lulu ni mwanamke mwenye akili na maendeleo duniani!! HUYU NADHANI NDIO MAANA SHULE ILIMSHINDAAAA!!!!!
mtoto mdogo badala ya kwenda shule kusoma anawaza wanaume, kweli huyu mtoto hasara kwa wazazi.
Tusimtukane Lulu jamani. Hakuna aliyekamilika. Tumuombe Mungu ampe Lulu busara ili Lulu aache hizo alnacha zake za kitoto na za kijinga.
kwanza hajui kama justin bieber ni GAY ... hebu google ujue
Rafiki kuna wanaohitaji kuombewa lakini sio lulu. Alikua anamjua Mungu but now amemchagua shetani, na ukishakua mfuasi wa shetani basi kuongoka inahitaji huruma ya Mungu kwa kua ni Mungu peke yake anaweza kubeba mazito ya wanaadamu. kuna kina lady gaga walianza kama alivyo lulu sasa hivi, na sasa wanajidhihirisha ulimwengu mzima kua wao ni wafuasi namba moja wa shetani alie laaniwa na Mungu. huyu binti analijua zuri na baya. hakuna kitu hata kimoja cha kumshauri asichokijua. Mwache tu aishi anavyotaka kwani hakuna la mwanzo lisilokua na mwisho.
nakusaidi ww binadam J. B tarehe 24 atakuwa kingston atakuwa ple kwa siku 2 anaenda kutembelea hospital moja ya watoo waneumwa kansa na kusaidia na mambo mengine mengine ukiweza ple nenda labda utapata muda ukaonana nae nitahangalia vzuri alafu nitakujulisha saa atakayoingia jina la mtaa adress ya hospital na jina pia kila ktu alafu nitakutumia kupitia apa apa max
Day dreamer!! Katotokashamba sana haka wewe jirahisishe tu kwa watu wengine ila sio bieber! Yaani wewe ni bonge la mshamba duu..go back 2 school labda itakusaidia. Mtoto mdogo taayari umshachakachuliwa na wazee wa bongo na wala huchagui...
Huyu Lulu dawa yake ndogo sana: anatakiwa apate njemba dume mmatumbi amsugue mpaka asalimu amri, hapo ndipo hizo alnacha zake zitakwisha. Wamatumba tumepewa kipaji cha kazi ya 'unyumba' naona huyu binti hajakutani na dume rijali mbongo aliyemshughulikia.
seriously! i suppose she gets a chance but according to her manners and what she claims after meeting him that is totally OBSESSION..lulu cwdy our pretty gal settle start afresh and u need
PROPER MORALS AND DISCIPLINE to be all that successful just like ev1 u c lyk all those biggest celebs u knw do the charities,start saving dont make urself too cheap ayt u r a gal mind u..dnt ruin ur reputation ..we luv u n want the best 4 u...stop the sagaz/scandals...<3
du jamani hivi mtu kujieleza anachohitaji maishani mwake ndio kulaaniwa na wanadamu namna hii? simuungi mkono Lulu lakini suddenly nimeona tatizo la kiafrika humu ndani. waafrika wenzangu tujifunze kuheshimu mawazo ya watu/wenzetu ili na sisi tuheshimike. nadhani wagunduzi wakubwa duniani kama akina Galileo, Edison nk wangekuwa miongoni mwetu tungewacheka na kuwazodoa kama hivi sababu hatuheshimu na kuthamnini mawazo na utashi wa wenzetu. wanawake wengi humu ndio waliomtukana huyu binti, lakini still wanadai haki ya usawa. usawa ni pamoja na kuwa na ujasiri wa kutamka unachotaka kama wanaume so get a life guys!!!!knock it off!!!
Justin in Europe? haha!
Post a Comment