PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
9 comments:
shamsa nilikuwa namchukulia wakawaida tu ila thru this interview kwakweli she is something else amaongea ukweli mtupu yani she is real na comfidence kibao i like her kwakweli and watu km hawa wakipata nafasi watafika mbali and am sure km alivoseama naisi ye atakuwa miongoni mwa wanaochukuiwa ktk hayo makundi yao huko. yani kaongea ukweli ambao wengi watazidi kununa ila wenye akili wataufanyia kazi
ukweli m2pu mnyonge mnyongeni haki yake mpeni mi pioa nasema wema anajua anachokifanya hata km ana kisauti yani yuko real pamoja na riyama wengine wooooooooooooooote wanaover do,wanafake,wanataka tu kuonekena yani wanakera. mbaya sn kujiweka juu mwenyewe wacha watu wakuweke that means wanakukubali
nakuona mtoto wa Ford tajiri wa kijitonyama,zingekuwa enzi za baba yako ungekuwa mbali, maana baba yako alikuwa mtoto wa mujini tunasema
I just love Shamsa. I wish she was my wife.
Salam alyekum wote. Jamani yani ukweli kabisa Wema ni muigizaji mzuri.. sio mtu unasema wewe mkali kwa kufoka au kelele yeye kweli ana sauti ya kitoto na ni mkali wa wasishana wote bongo waigizaji. yani anakamuwa kilivyo. kama ni makosa akuna aliye kamili.
yellow!
shamsa umeongea ukweli, yaani wema ni anajua hasa anachokifanya, movie zote alizocheza wema kwa kweli zipo juu. huyu shamsa niliwahi kuona movie yake ya zawadi ya birthday tu ndipo nilipomjulia hapo na amefanya vizuri sana tangu siku hiyo nimetokea kumpenda sana huyu dada sijui kwa nini hawampi sana kazi
kingeleza cha nn ww ujui lugha ya baba wa TAIFA?kwnn unachanganya lugha alafu bdo aijanyooka
Dada nakushauri uende english course. Nimeshindwa kujizuia ku note makosa ambayo ni ya wazi. Otherwise tumia kiswahili tu after all wasikilizaji na wapenzi wa hii blog ni wabongo; hukuwa na sababu ya kujichoresha na kingereza chako kibovu. Ungeongea kiswahili wala tusingejua kuwa hujuhi kiinglish. Sasa umetoa siri yako adharani kuwa wewe ni maimuna.
Shamsa na Zamaradi. Wote wazuri na nawapenda wote wawili.
Post a Comment