PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
9 comments:
mbavu zangu mie jamani lol........... ivi Zama hukucheka au ndo mazingira ya kazi hayakuruhusu????. yani he made my day lol nimerudia na kurudia na kurudia kaaaaaaaaaaaazi kweli kweli
Sasa huyo nae anaimba nini uchuzi mtupu, mwimbo nimeusikia hauna mashiko kabisa
Ndugu yangu Mlopelo, ukitoa kibao kizuri zaidi ya hicho (cha R n B {lol}), basi Clouds na Stations nyingi za redio zitaupiga wimbo wako mpaka mwenyewe ufurahi, lakini hii ya sasa....mhh.... Hata hivyo nathamini sana sana kazi yako ya uigizaji na nakiri kuwa una ujuzi na kipaji cha sanaa ya maigizo, lakini muziki...?... Tungoje kibao chako kijacho kabla hatujatoa uamuzi.....
Hata mimi umenivunja mbavu kwa malalamiko yako yasiyo na msingi. Haina maana kuwa mtu akiwa muigizaji mzuri basi lazima atakuwa muimbaji mzuri. Una kazi kubwa sana sana sana studio kabla hujaanza kutafuta visingizio.
uwiiiiii hehehehehe lol lol lol
jamani mbavuuu zanguuuuuu huyu jamaa anachekesha....
ha ha ha MLOPELO acha lawama hicho kibao ni taharabu au na kwa habari za ZAMARADI ana sema r n b ple sna jipange upya
Come Mlopelo...pleeeeeease be more serious.
Huo wimbo wako sijawahi kuusikia Clouds wal katika radio station yoyote ile , lazima wimbo huo utakuwa wimbo "bomu" uliochemsha (kicheko au 'lol').
RIP mzee
Post a Comment