Friday, June 17, 2011

MAMA NA MWANA.. lol!!!

10 comments:

James said...

Heeh kumbe Zama una mtoto hongera zako

Anonymous said...

Hee I didnt know kuwa una baby.... congratulations

Anonymous said...

congrats zamaradi

Anonymous said...

anaitwa nani

Anonymous said...

Acha tu niwe mkweli jamani, huyo sio mtoto wangu mimi bado nipo nipo kwanza, huyo ni mtoto wa jirani yangu sema kanizoea sana, anaitwa malcom.. So kwa wale walioelewa tofauti am sorry jamani msije mkaona nimewawekea habari ya uongo.. sina mtoto huyo ni wa rafiki yangu.. Pamoja.

Anonymous said...

yani alivyokupendeza!afadhali angekuwa wakwako ila kama vp ongea na mama yake akupe wewe huyo mtoto awe wako,yuko poa sana atawatesa mabint zetu hapo baadae.

Anonymous said...

you wish

James said...

I wish u zama kwani katoto kamekupendeza

okharuni said...

ZAMA UMENUNU A AU NDIO USHAIBA KAMA WAKO HONGERA SAXA C*

okharuni said...

HEY WAKWAKO KWELI UYO