Hiyo ilikuwa ni interview ambayo niliifanya kupitia TAKE ONE ya CLOUDS TV ambayo huwa kila JUMANNE saa TATU kamili Usiku na MARUDIO ni Jumatano saa NNE na dakika tano usiku
PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
27 comments:
wema una laana wewe hiyo ni kawaida yako ndo unavyowasifiaga hivyo baada ya muda skendo zinaanza
mmmmmh i'm speech less
makubwaaa! diamond tena!!!! whats happen to chalzbaba
i hpoe this tym atatulia na uyo bwana usafi juu huyu binti hana kasoro yoyote ya maumbile yani anavutia mambo yake tu ndo gumzo.
Kingereza lainiiiiiiiiiiii yani sio cha kutafuta na anajua kukiremba naezasema kuliko mamis wote najua wengi wanajua kingereza but to make it sound as ur mama toung is an isue ila hapo kweli Mungu akunyimi vyote
Mimi kama mzazi pia huwa namuonea huruma sana huyu wema jamani kwa kushindwa kujitambua, kuna wakati natamani kama ningeweza kutana naye japo niongee nae kikubwa. cjui wazazi wake wanaumia kiasi gani kwa ajil yake au ndo wamemsusa mana wamechoka mambo yake wanaweka tu pamba masikion mana ni aibu sana. Kweli uzuri wa mwanamke sio sura bali tabia.
Ewe mwenyezi Mungu niepushie haya kwa mwanangu anayekua....
sasa singeongea tu kwa kiswahili mbona anayemfanyia interview ni kwa kiswahili kwanini naye asjibu kwa kiswahili au ndio kujitukuza hivyo alafu anabana sauti kama mtoto mdogo hovyo anajishaua sana haipendezi amepoteza maana nzima ya hii enterview mwenzake anahoji vizuri kwa sauti inayosikika na lugha ya taifa
hv wema amekosa mwanaume mwenye akili zake au ni umalaya unamsumbua dem ana sura nzuri but kaz yake ni kubadili wanaume kama khanga,hv we mtoto huogopi hata magonjwa,hawa mastaa wanakuzingua tu,
hongera wema,kumtaja umpendae hadharani si jambo rahis kihivyo,i can feel how much ur in luv..wish u luck and may The Almighty be with u in ur luv...wakosoaji hamkosi la kusema?au kwa sababu maisha yenu hayamulikwi?
hahahahahahahaa jamani mbavu zangu mie zinachomoka...dah!maneno matamu hayo wish yawe kweli.wema mdogo angu tulia basi mbona ur so cute,kweli uzuri co sura
Zama mbona umetutolea hyo interview?! Iweke tuione ambao hatukuiona.
Kaza buti mama, alisemwa SINTA SASA HIVI KATULIA MTOTO WA WATU
Kampata wanayeendana, kama hamuwezani ung'ang'anie
Msitake kumponda mtoto wa mwanamke mwenzenu au kwasababu yeye maarufu ndiyo maana mnajua katembea na wanaume wangapi? Wengine tangu mmeanza kukua mmeshabadilisha hata wanaume 100 acheni kumnyoshea mwenzenu kidole.........Hajapata anayempenda akimpata atatulia naye, msiwe mnamhoji tuu yeye na hao wanaume anakuwa nao mbona hamjiulizi.........Kama Kanumba alikuwa na haki ya kuachana naye sasa akicheza na kila msichana kwenye movie lazima atembee naye,mfano kwa sylivia kaficha matokeo yake wanapelekana polisi....Na sasa hivi anatoka na yule msichana aliyecheza naye kwenye THE SHOCK, mwacheni babu wanaume akikuzingua unapiga chini kwani umezaliwa naye..........
Kabla ya yeye mbona ulikuwa unaishi?
Me nampenda sana huyu dada kwanza akiongea kingereza utapenda, siyo wengine mpaka wanaboa.........
MCHAWI MSEMENI MCHAWI, ILA SIFA YAKE YA KURUKA NA UNGO MUMPE.
Kamua mama yake mmependeza
jamani hivi hamjui kuwa wema ana pepo la ngono? ila amegoma kwenda kwa babu kupata kikombe ili litoke hilo pepo. halafu pepo lake linampeleka kubaya sana,yaani kwa uzuri wake vile kaona mwanaume ni diamond ebu cheki lile domo lake lilivyo kubwa jamani lakini ni zuri la kunyonya maeneo husika kweli. huu mwaka Zamaradi shoga yangu hauishi atammwaga chini mi masikio tu.
jamani mbona umetutolea uwo ubuyu?
zama mbona video inakataa,,, kwa nini umetoa?????
Naomba ukitoka hapo uje kwetu tukakutambikie, Anko wako mpendwa
mwacheni aenjoy life, we mpaka umefika hapo umeshakuwa na wanaume wangapi? au coz yy ni superstar kila anchofanya kinajulikana vyenu visivyojulikana vikoje?? mwacheni eeeeehhh
mmh! sijui inabidi wema sasa utulie na huyo akikushindwa sijui utaitwa jina gani
Jamani mbona wengine hatujaiona tuwekee basi
Dah sometime unakosa useme lipi but kuna pande mbili kiukweli f its true wanaojulikana na wasilojulkana,kiukweli wangapi ambao hawajulikani ni vicheche mbaya hata mabwana mia wamemaliza?then its true kuna mtu amecoment may be hajapata wa kumpenda unajua its true sometime unaingia katika relationship then u believe hapa napendwa so we can last long but unachokutana nacho katika mahusiano hayo unaweza usitamani kupenda tena serious ukweli wa mambo hatuujui why wema anahama hama kwa hao wanaume,,may be its true anachotegemea sicho anachokikuta katika huo uhusiano anaoingia,so mabali na kumsema vibaya we have at least to know other side ya anayokutana nae katika mahusiano sawa ni kioo cha jamii may be anatendwa huko anapoanzisha uhusiano so akubali kuwa katika maumivu just tu kuwafurahisha binadamu kuwa ametulia na mtu mmoja,no hilo haliwezekani na kama mlitazama interview yake poa kuna swali aliulizwa na zamaradi katika watu ambao amewahi kutoka nao kuna ambaye amejuta ,,akajibu wapo wawili yani mpaka amejishangaa alifuata nini katika huo uhusiano but ukirudi nyuma mapenzi ndo yalimpeleka huko ukitazama na Mungu kaweka siri yake huwezi jua moyo wa mtu kiundani we just take the risk kwa yale tunayoambiwa mdomoni mtu anauambia anakupenda so how sure u are kama kweli ni kutoka moyoni?na wote mnajua fika tusiwe wanafik jamani tazama mwanaume akiwa anamfuatilia mwanamke yuko radhi kufanya lolote ili radi tu ampate but wengi afta kupata walichopata kama hakuwa na true love ndo hapo atakapoanza kuonyesha who real he is then utakubali kuvumilia jaman?mi nahis ifike time usikoment kwa jazba wala kwa kukurupuka just sit and think sio kulaumu tu sometime unaona unakomeshea kumbe hujui wewe kwako kuko vipi we have our families una mtoto wa kaka yako,dada yako any family member hujui ataishia wap lets pray for her apate wa kumjali kiukweli nawaombea kwa Mungu haswa Diamond awe kweli amempenda mtoto wa watu apate kutulia,then watu ambao pia wamempnda Diamond kuwa sijui domo sijui ninikiukweli mnakosea wote tumeumbwa na Mungu hakuna mtu aliyejiumba au kumuomba Mungu amuumbe vipi sio fair kama we unajiona mzuri fine lakini si kukashifu watu..to be honest ifike time tubadilike jamani tuache NEGATIVE THINKING LETS CHANGE TUWE NA POSITIVE THINKING,LASTLY NIOMBE RADHI KAMA KUNA MTU NIMEMKOSEA KWA LOLOTE WAKATI NACOMMENT LABDA KWA KUTUMIA COMMENT ZAO KUELEWESHA SINA NIA MBAYA NA YOYOTE NAOMBA RADHI.WATANZANIA NI KITU KIMOJA TUUNGANENI TUINUE UCHUMI WETU,KUPUNGUZA MAGONJWA NA KUONDOA UMASKINI..Its No Name
nimependa comment ya mtu wa hapo juu yangu. inabidi tufikiri kichanya zaidi sio tunaona mabaya tu
duh! kweli anonymous wa hapo juu katoa point nzuri sana, kweli tubadilike wa TZ tupendane jamani, wema ni mkweli katoa yaliyo moyoni mwake, au sababu ni star ndio maana anajulikana siri zake, tumwache mwana wa mwenzetu, tumwombee kwa MUNGU atapata mwenza wake. Atown
sasa wema ana mzuri yapi mbona wenzake ni mastar lkn hawana maskendo? badilika wema mmh!
hivi wema ana mtoto au
mimi namuonea huruma sana diamond anadandia gari kwa mbele pole kaka upo hapa bongo yanayomkuta wema unayasikia bado upo.
Huyo aliye comment maneno mengi,kama co wema mwenyewe,cjui!!!
jaman mwacheni atafute anayempenda kwa dhat, na hayo maneno ya kumponda dimond yanatoka wapi wanaume zenu nyie wanakasoro ngapi? mbona hamsemi?
Wema u r so sweet... deserve to be happy...
Post a Comment