Friday, April 8, 2011

ILIVYOKUWA JANA PALE LEADERS.....

Dina, mimi hapo katikati (zamaradi) pamoja na Shadee.. Jacky wolper, Zamaradi Mketema na Dina Marios... Clouds TV team wakiwa na CASTO pale kati (mwananchi wa kawaida)

Rehema kutoka THT akiwa na SIMPLE (ze boy) kutoka 69records.
Reuben Ndege (ncha kali)
Mashujaa band wakifanya vitu vyao...
Joan Matovolwa akiwa na watoto wakiwa wamevalia jezi zao..
B12 (dozen) nae alikuwepo.. shabiki nambari moja wa Arsenal...
hali ya uwanja ilivyokuwa..
Kutoka kushoto DINA MARIOS, ZAMARADI MKETEMA, SHADEE, BARBARA HASSAN pamoja na MARTIN KADINDA huko nyuma..
Mh hakuna mashabiki waliokuwa na fujo kama MAN UNITED.. hapo nilipishana nao wakiwa wanashangilia... naweza nikawaita mabingwa wa kushangilia hata wakifungwa wao wanashangilia tuuu...
Hao bwana... Mbwembwe nyingi mwisho wa siku CHALI.. hamna kitu!!!


Dina, Zamaradi, shadee pamoja na Barbara Hassan...

4 comments:

mwanaid said...

zama huwajui man u? nn? yaani wana mabwebwe meeengi,yani siwapendi wewe kazi yao malawama tu,yaani juzi j5 niliboreka pale tuliponyimwa penalt..
Yaani i realy haye Man U,Siwezi shangilia mashetani mimi nami nicje kuwa shetani bure.sisi hatuna hata bwebwe nyingi ndoo maana tukaingia fainal kwenye ya fiesta Bonanza.
Wana chelsea oyeeeeeeeeeeeeeeeee...

mwanaid said...

Mie kwa leuger ya Hispania Barcelona ndo timu yangu coz napenda jinsi wanavyosakata kabumbu lao, lakini England pale kati pale lazima nichague chelsea.
Hola to chelsea

nayma said...

hlaaaaa mumy u always look good but i LOVE hiyo fill thing ya wapi ma model i just love your style we could have aloy in common you look good!

Anonymous said...

zama bora uzame kwenye hizo "muvi" tu maana soccer zeeeeerrrrrooooo. manu u ni bure!? hata JIDE ni chelsea na bwanake ni liverpool lkn haongeagi upuuzi juu ya man u sababu they know nani anawanyima usingizi. kama chelsea mlinyimwa penati na sisi tulinyimwa goli la halali old trafford so get a life whoever you are.
MAN U RRRROOOOCCCKKKKSSS.