Tuesday, April 26, 2011

UNAMJUA HUYU!!???... PICHA YA LEO....

Anaitwa Hassan Kundamayi a.k.a HK kutoka HK Vision ambapo ni Video Producer na ameshatengeneza videos mbalimbali kama Tatizo umasikini ya vumilia, Njiapanda ya Barnaba na Pipi, Dar es salaam stand up ya chidi benzi na nyinginezo nyingi sana.


Lakini mbali na kuwa producer wa video HK pia ameshawahi kuwa mwanamuziki ambapo zamani kama unakumbuka alishawahi kuimba na alishirikiana na RENEE LAMIRA kwenye wimbo unaoitwa TATIZO OUT na mwingine aliwahi kuimba na Esther Wassira wimbo unaitwa UMERUDIA TENA na alikuwa na style yake ya peke yake katika uimbaji ila sielewi kwasasa kwanini aliamua kuachana na swala la mziki...


Huyo ndio HK na hiyo ndio picha yetu ya leo!!!

2 comments:

Anonymous said...

mie nilijua unatuambia huyo HK kafanya kitu kumbe unatuambia cjui kaachana na music sisi inatuhusu nini? kama vp umtafute umuulize ili upate jibu kamili sasa hatuna majibu ya maswali yako

SEBO said...

...labda ungemuomba atupe majibu ya hayo maswali.