Tuesday, April 26, 2011

UPCOMING MOVIE STAR....!!!!

Anaitwa Myrosh Kaida, amezaliwa 23rd October 1985, ni mwanafunzi kutoka St Augustine university of Tanzania ambapo yuko mwaka wa pili akichukua Bachelor of Education..


Ni mmoja kati ya watu ambao watashiriki filamu za Fiesta na hiki ni kipaji kipya kabisa kutoka MWANZA ambapo kuna wenzake wengine wengi ambao nitawaletea picha zao mmoja baada ya mwingine.. kwa kuanza nimeanza na huyu.


Ana malengo mengi sana lakini kubwa ni kuwa muigizaji mkubwa sana kwenye filamu na kufanikiwa katika kila atakachokifanya....


HIKO NI KIPAJI KIPYA KABISA kutoka MWANZA, TANZANIA..KWA KUMUANGALIA TU UNAMUONAJE.. ATAFAA KWENYE FILAMU!!????


NAHITAJI MAONI YAKO!!!!?????
10 comments:

mwanaid said...

huyu mkaka analipa na ana mwonekano mzuri kweli lakini siwezi sema kama atafaa au vp coz inaweza kuwa uzuri wa mkakasi ndani ...... na dont judge a book by its cover.
Ngoja tusubiri hiyo movie ya fiesta ndo nitajua kama yaliyomo yamo!!...

Anonymous said...

kimauzo anao mvuto wa kuwa katika movies but we dont wanna jugde by muonekana we want to see his talent kama mauzo wapo wengi tu,,,its no name

Anonymous said...

anafaa

Anonymous said...

yeah! kiukweli yuko so sexy atauza vibaya

Anonymous said...

Kwa sisi tunao ishi nae hapa, na kwa wale tunao share nae maisha ya kila siku, bado ni mapema sana kusema chochote maana uigizaji ni kazi na kipaji ni kitu kingine. Mumezowea kuwapromote watu kwa kutumia sana blogs na hata redio zenu. Ni vizuri mkapromote baada ya kuona walau kazi moja. Katika pozz hilo kuna mapungufu mengi haswa ya haiba na usafi kwa jumla ukiacha utanashati. Zamaradi jaribu kufikiria tena kwa makini kabla ya kuleta hoja kwa watu wanaoweza kuwa makini.

Anonymous said...

analipa bwana hata muonekano ni kitu mojawapo muhimu ktk film

Anonymous said...

jamaa mkali sana
kuanzia face hadi nini cjui
labda tusubir alichonacho
na hao wanaosema wanamjua eti cjui nini waache utoto keani kumjua ni nii bhanaaaaa...
mwacheni bro na ni lazima ataweza coz hata poz hilo kulipta ni kaziii
n a kibongo muvie nyingi zinanunuliwa kuanza kwenye cover so
let it be bwana
i wish ningepata namba za bro coz ni mkkkkkaaaaaaaaaaaaaaaaaali mbya
na kumbuken hapa wanatafutwa ambao ni wapwa jaman so
kihere cha nini subirin
coz kuna mkono wa serenget na CLOUDs
safiiiiiiiiii

LILIAN JUMMANNE said...

kwani msela kasema yeye ni second yr
maana nilisoma nae....wakati uleeee
na alikuwa mpole na mwenye kumaind mambo yke
ila me namjua km kijana anayependa sana kutangaza
na anauwezo mkubwa sana hapo katka mic
labda kaamua kuingia kk hyo kitu maana anayo gud face for cover n may be atapinga mzigo
ila yupo mwaka wa kwanza popote alipo
myoshi big up sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
lilian TANGA

Anonymous said...

Naomba Myrosh anijibu: je yeye ni mtoto wa Bi June Manners na marehemu Laurence Kaida ambao nilisoma nao UDSM miaka hiyooo??? (kabla kina Zamaradi hamjazaliwa). Zamaradi usishangae kuona una wasomaji wazee kama mimi (watoto wangu, hasa binti yangu, ndio wameni-inroduce kwenye blogsite yako kwa kuwa wanataka ku-share nami hobbies zao).

Anonymous said...

asa nin kinaendelea abt this mambo ama ilikuwa chezea toto??
maaana naona kimya sana