Hii ilikuwa ni interview iliyofanyika on TAKE ONE kupitia CLOUDS TV ambapo Wema aliongea anachokikumbuka kutoka kwa kanumba ambae ni aliekuwa mpenzi wake, na baada ya hapo niliongea na H-baba ambae kwasasa yuko kwenye mahusiano na Flora mvungi lakini hii si mara ya kwanza kwake kudate STAR wa movie hivyo na yeye nilimuuliza anachokikumbuka kutoka kwenye uhusiano wake uliopita ambapo alikuwa akitoka na Uwoya kabla ya Flora.
PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
9 comments:
Wanaume kmhawa huwa siwapendagi kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ni km mabinti tu hayo malalamiko yamekaa kikike zaidi kwa mwanaume kuyaongea hazarani haipendezi asilete habari za Jafarai.
Sio kwasababu upo luningani basi uongee tu kila unachoulizwa ni km alikuwa anangoja hii sikuifike kaa kimya wanawake kuongea ndio zao hata uyo F siku vikibuma utashangaa
Usiwe unatuwekea interview zingine za kijinga
Hayo ni maneno ya mkosaji
Mwenzie kashaolewa anachomuongelea nini? au anataka kuanzisha bifu la kijinga?
Yeye angekuwa mwanaume wa maana angekata kata kiuno ovyo simpendi.....
Anaonekana shule hamna
Ongea habari zako Uwoya kakusoea nini?
Mwache mtoto wa watu atulie na mumewe cyprus
Ushindwe mbwa wewe
Sikujui ila interview yako imeniboa
Huyo flora naye ukiachana naye utamponda
Flora naye ni mwanamke
Malaya tuu
Ni kitambo sn kimepita na kila m2 ana maisha yake cani km huyu jamaa kuongea ivo inaleta maana.kipindi mapenzi yliponogaga alimsiaga sn sn sn mpk kwenye mambo ya kitandani laeo yamekuwa hayo Flora mwenzio akinyolewa zako tia maji sipendi kweli mwanaume anaeponda mapenzi yake ya zamani
Kuna kule kucompare kati ya mpz wa zamani na sasa ila mwenye akili anabaki nayo tu moyoni kiranga cha kuongea maneno meeeeeeengi mwishoe unajikuta umeruka majivu ukakanyaga moto
YAANI HUYU FALA MTU MZIMA OVYO JAMANI KASHAOLEWA KIROHO KINAUMA AMEPATA MUME ALIYEKUZIDI UTABAKI KUKATA VIUNO YULE NI MWANAMKE USISHINDANE NAE
we h baba acha maneno ya mkosaja unadhani kwa kusema hizo pumba unaifundisha jamii au untka kumponda ? kashaula uwoya mambo yake safi sasa sio wewe mara upo kwenye bongo bolingo flavour endealea na bado/ hiv unadhani hakuna zuli alilokufanyia yapo meng tu ila unaona aibu lol mwanaume wa ajabu wewe ,na utaisoma namba na hiko kiuno
Zama please watu kama hawa usilete tena humu, huyu msenge manina zake mwanamke umeachana nae miaka kenda leo hii unamuongea mpumbavu mkubwa roho inakuuma sana kwakuwa hujawahi kupata mwanamke mzuri kama Irene, mbwa wewe utaishia kukata viuno hadi uolewe shenzi yaaani umenikwaza sipati sana
kweli namsikitikia huyo flora anaetarajiwa kuolewa na mwanaume kama huyu anaongea kupitiliza, nahisi hajaenda shule huyo, hivi mbona intervew ya wema hakupenda kumtaja hata mtu mmoja japo aliiumizwa na watu 2,ila sifa alizitoa ni kwamba ameenda shule si kila swali unajibu tu hovyo hovyo! irene mke wa watu sasa unamkubukia nini, mshamba sana wewe hbaba.
H baba bonge la bwege kumsema irene kiasi hicho nini kwanza hakuwa saizi yake kapata kwa wanajua thamani ya mwanamke kumtunza na kumjali sio ww kazi kukata mauno yatakusaidia nini wakati hata hela ya kula huna. Flola muangalia Irene alivyosemwa ujue na wewe ipo siku usifuahie dada kazi kwako.
yaani kweli ni upuuzi, ukiachana na mtu sio kila kitu unasema hadharani, wewe hajasema ya kwako kwasababu amekustahi otherwise kila mmoja akiamua kusema kasoro za mwenzie baada ya kuachana watu tungejiona tuko uchi barabarani. kila mtu ana kasoro so keep quiet na unasema vilivyo muhimu tu kwamba tumeshindwa kuelewana basi inatosha, sio hadi kasoro za ndani. iko siku utaumbuliwa hadharani kuwa nanii yako iko hivi au vile.
Post a Comment