Tuesday, April 26, 2011

SERENGETI FIESTA FILAMU

Kutokana na ubize na majukumu yaliyokuwa mbele yangu pamoja na safari za hapa na pale nilishindwa kuweka picha za Tour yetu nzima ya Mwanza ambapo tuliongozana na Hemed pamoja na Jackline Wolper lakini soon nitawaletea picha hizo ambapo tulikuwa mwanza kwa ajili ya kusaka vipaji kwenye swala zima la filamu!!!


Wiki ijayo tutakuwa ARUSHA hivyo wakazi wa Arusha wenye vipaji kaeni mkao wa kula tunakuja


Tuko pamoja!!!!

1 comment:

mwanaid said...

Pole na safari pamoja majukumu mpnz,tunakuvumilia na tunazisubiria hizo picha kwa hamu kubwa