Friday, April 8, 2011

JUMATANO HII NILIKUWA CONTINENTAL KWENYE KANGA MOJA....

Jumatano hii niliamua kutoka kidogo kwenda kusafisha macho pale continental club maeneo ya Town ambapo kulikuwa na kanga moja (laki si pesa) (KANGA MOKO). . na si jumatano hii tu ila kila jumatano usikose kwenda kushangaa shangaa kidogo!!!
Hii picha ilikuwa ya kushtukiza kidogo, Dina ndio alikuwa anatupiga halafu akatufotoa kabla hatujajipanga ikabidi barbara kama aikwepe hivi mwisho wa siku ikampata.. Geah habib.. mratibu wa kanga moja huyo.. ukitaka kuwapata kwa ajili ya show inabidi uzungumze na Geah vizuri maana ndio meneja wao..
Barbara Hassan wa Power Breakfast Clouds FM.
Dina Marios wa Leo Tena ya Clouds FM.
Anaitwa Sheila.. rafiki yake Barbara nae alikuwepo tukajumuika wote... Zamaradi mketema na Barbara Hassan..
Ada na Zamaradi...
Dina Marios.. Ukiwa Continental huwezi kuacha kushangaa.. hapo sijui nilikuwa nashangaa nini.. Sielewi.. but mwisho wa siku was good coz we had fun na kila kitu kilikwenda sawa....

6 comments:

Anonymous said...

weweeeeeeeeee,kanga moja ndembe ndembe laki si pesa Dina naye alikuwa in da haouse along side zamaradi.
Sasa lili shindano alilosema dina kati yake na Barbra lilikwepo???tehe tehe teh....

Anonymous said...

zama hapo nahisi ulilazimishwa kwenda
wala hakukufai huko waachie wenyewe kina gea

Anonymous said...

Zama pamba zako za ukweli unazinunua wapi hizo? nitonye basi mama ake

Anonymous said...

kushangaa mwisho mara 1,ukizidisha tutakutoza ankara,sasa unachoshangaa hujawahi kukiona nn??

Anonymous said...

Zamaradi wewe ni mzuri na unachoise nzuri ya nguo zinazoendana na wewe pamoja na mpangilio mzuri wa nguo plz mshauri na dinna nae coz naona kila nguo yake ni tentemete. seriously unapendeza sana mumy

Anonymous said...

shosti blog imezorota hiyo. umeisusa nini?