Katika hao kuna yeyote ambae kakuvutia!!??? Kama yupo ni yupi!?? na nini hasa ambacho kimekuvutia kwake!!?? kiufupi yupi unamtabiria makubwa zaidi!!????
PICHA ZA DADA DINA CARE'S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA
VETERANI
-
Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care's tulitembelea kituo cha watoto
yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha
mchan...
10 years ago
2 comments:
kati ya hao,wengi wamejitahidi kujielezea,ila kwa mimi kama kumchagua mmoja ni huyo kama sikosei jina lake hadija.ana mwanya.ni mtu amejielezea vizuri zaidi,na kwa kujiamini sana,ni hilo linatakiwa.ila huyo dada alievaa miwani,kama akiigiza kiswahili kama hicho anachokiongea kinaonekana ni too fake.ukijielezea ni vizuri na ustaarabu ukavua miwani.ni sawa ya kufanya interview ya kuomba kazi sio vizuri kuvaa miwani ya jua wakati unahojiwa.ingekuwa tayari umeshaingia kwenye filamu hakuna ubaya,ila kwa sasa uwe mnyenyekevu,na ujaimini kuwa utafanya vizuri
the guys are all good as we know it takes self confidence, wisdom, humorousness, creativity and an additional of the good and inspiring looks to make a tru star.
My personal interest lies on Peter Mboma, I think the guy is a "full package" lets make use of him and see what he got... and i believe its more than we can imagine!cant wait to see the first release...Go Pyda!!!!
Post a Comment