Wednesday, April 20, 2011

STAY TUNED...

Kuanzia wiki ijayo kwa kuwajali wale ambao wako mbali na hawashiki CLOUDS TV.. nitakuwa naweka vipande tofautitofauti ama vitu tofautitofauti kutoka kwenye kipindi changu cha TAKE ONE ili tuweze kwenda sawa..
ASANTENI SANA
TUKO PAMOJA SANA
NAWAPENDA WOTE !!!

2 comments:

Anonymous said...

Nakuomba sana Zama dada yangu mpenzi. Utukumbuke na sisi jamani. Tuko mbali, ila tunapenda sana kupata mambo ya nyumbani. Usituyeyushe, maana nakumbuka nilikuomba hilo tangu mwaka jana. Be faithful!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

Dats will be nyc Zama as u know tunawakubali clouds kwa ting`a zenu za ukwee so hiyo itakua poa sana