Friday, April 8, 2011

MTOTO MALCOM ANAWATAKIA IJUMAA KARIM...

Anaitwa Malcom Ally Choki, anawatakia ijumaa njema wapenzi wooote wa blog hii!!! Kijana akiwa na kanzu yake, hapa alikuwa akijitayarisha kwenda Masjid leo...

Mwenyewe pozi lake kwenye maua tu hataki tabu yeye.. wala kuonekana sana hataki anataka mumuone nyuma ya maua..

IJUMAA NJEMA KWA WOTE!!!!

5 comments:

Anonymous said...

unaboa na picha zako nusunusu hata blog hau-update unakaa wewe kila siku picha ni hzo hizo tu aaagh, embu badilisha basi umeweka hiyo ya mtoto wa alichoki leo ndo utakaa weeeeeeeeeee hadi tusahau badilika acha uvivu, mbona dina yuko sharp? its boring kabisa

Anonymous said...

Mashaalah,mungu akukuze katika makuzi mema uwe unaenda kweli masjid mtoto malcon...

mnwanaid said...

Mtoto mnzuri maashaalah,ndoo huyo mtoto wa pauline zongo??plz nijibu naomba unijibu zama.

m said...

Ndoo maana akaitwa Dina na yeye Zamaradi,usiwafananisha watu bwana,mbona mtoto wa watu anajitahidi kwa sana tu,hata huyo dina mwenyewe kuna kipindi picha hizo hizo zinakaa kwa mda mrefu bila ku up-date?acha uzandiq wewe..

Lucky gal said...

Hellow Zamaradi,am Mariam moja wa shabiki wakipindi chako cha take one to be honest that is only my best show on clauds tv ila nilikuwa na naomi fani hivi kuhusu last show yako ya mwanza niliipenda but kwa upande wangu sikupenda ulivyoenda na hemed ua jacky as majaji atleast angemix msanii mkongwe mmoja then na hao wote ulioenda nao ingemake sense sio kama siwakubali jacky na hemed nut uliwapata kazi ambayo haiendani nao kuna riyama, kemmy,johari, na wengineo wakongwe wangefiti make good show not show ya kuuza sura kwa wauza sura tunapenda sana show yako....keep it up ni maoni tu