Friday, April 15, 2011

KUTANA na KIMORA wa TANZANIA kupitia filamu mpya iliyofanyiwa UINGEREZA inaitwa FACEBOOK

Utampata kupitia filamu mpya kabisa ambayo imechezwa na watanzania waishio uingereza inaitwa FACEBOOK.. humo ndani amecheza kama KIMORA (jina alilotumia kwenye filamu) na tegemea mengi kutoka kwake katika film industry ya Tanzania!!
Kutoka kushoto Kimora, Geofrey ambae ndie Ex. producer wa hiyo filamu, Zamaradi Mketema (mimi) pamoja na Thecla ama Suzzy kama alivyocheza kwenye filamu ya Facebook..


Wadada wa kwenye filamu ya FACEBOOK
hapa ni katika Interview na TAKE ONE pembeni hapo ni Raymond Charles.. Cameraman wa Take One. Kimora kama anavyoonekana.. The NEW actress in Tanzania.. isubirie Filamu ya FACEBOOK ili kuweza kuona kama yaliyomo yamo ama la!!!

4 comments:

Anonymous said...

wewe nawe usituchoshe huna jipya embu muangalie Dina mwenzio jinsi anaupdate blog yake, wewe kapicha kamoja tuuuuu, aaa bwna ee sasa ulifungua blog ya nn kama huwezi kuimantain bana, kula kona huko funga kabisa maana huna jipya, toka tarhe 11, hadi leo halafu unatuletea kapicha kamoja tu kimora kimora ...kimora bongo?

Anonymous said...

filam za kibongo zikichezwa nchi za ulaya mara ngingi,zinakuwa hazina uzuri wowote ule.bora filam zichezwe tz

Anonymous said...

wee katoto uumdhuri kwei kwei. unayo damu ya kitusi aisee nimekubali.mouah


mdau jerusalem

Anonymous said...

unawajua watusi wewe mdau wa jerusalem au unawasikia? wala hakaribii sema ana uzuri wake mwenyewe kama mwenyewe.