Tuesday, April 19, 2011

FILAMU MPYA KUTOKA JAROWE.. THE DIARY!!!!! UNAIONAJE COVER!!????

Kutoka kushoto ni JACKLINE PENTZEL, WEMA SEPETU pamoja na ROSE NDAUKA kwa pamoja wanaunda kundi linaloitwa JAROWE ambapo wana malengo mengi sana kwenye Industry ya Filamu BONGO.. kwasasa hivi wamekuja na filamu yao mpya kabisa inayoitwa THE DIARY kama cover yake inavyoonekana hapo juu.. UNAIONAJE COVER...!!???
COVER ya PART 1 kama inavyoonekana kwa mbele na nyuma
Huu ni muonekano wa Cover ya PART TWO... THE DIARY coming soon kutoka JAROWE ambapo ni kifupi cha JACKY,WEMA na ROSE..


STAY TUNED!!!!

22 comments:

Anonymous said...

this is wat we want sio unakaa na habari wiki mbili unafanya radio ya watu matikio kila siku pale lakini umezubaaaaaaaaaaaaa
Hawa wadada kwakweli akiwa serious na hili kundi lao watafika mbali yani gumzo la mji nawaombea sn mana majungu yakianza tu hawatachukua mda. cover imetulia mnoooooooooo walai big up sn mtoto wema apunguze mapepe tu ila mfuniko hasa

Anonymous said...

OMG ilove the cover,,,as in the color is so appealing...my wema looking good.....i wish nothn bt the best for yu,,,,,xxxxunrene

Anonymous said...

wanaonekana wamekuja kivingine hawa wadada wajitahidi wanaweza nyanyua movie industry in tz
inaonekana itakuwa movie kali .
hope itakuwa kali the way m thinking mana movie za bongo ukiona cover unaweza sema duu hii movie ni kali kuichek kumbe hamna lolote ni cover tu

Anonymous said...

Ni nzuri tu kwa kweli na wamependeza ila zama jitahidi kuwa up to date unachelewa kuweka habari zako

Anonymous said...

Rangi na mapozi ni nzuri sana na wamependeza sana lakini still in dilema kwani the cover should always try to covey what is inside!!! I know it should be grand and cloud but it should carry the meaning of what to be potrayed. For this i don't even have a slightest clue. Guys we need to work hard!! its not a potrait that matter but the massage!!! so what does it try to convey??

Amina Zangira said...

Ki ukweli cover imetulia ile mbaya,nawashauri wasisikilize maneno ya wakosaji washikamane hivyohivyo mambo yataenda sawa.nimependa idea yao nzuri wamekuja kivingine naweza kuwaita MAPACHA WATATU.Amina Zangira

Anonymous said...

cover zuri sana,ila kwa upande mwengine naona wema kama hajui ku act,maana sauti yake inakuwa kama ya kitoto sana.rose ndauka ame improve sana tu, yupo juu na jaki nae anajitahidi.wema ajaribu sauti kuikazanisha

Anonymous said...

SEXY SMART N GORGEOUS

Anonymous said...

cover lukin gud, colour s nice, wawe tu serious na kazi sio leo wameunda kundi then after short time limekufa. love u wema keep it up baby

Hawa said...

Muonenekano wa cover ni mzuri sana unavutia but na move iwe hivyo2 nzuri kama hyo cover pliz, syo manjonjo tu. By the way nimependa hyo sana. Na huwa nampenda sana ROSE NDAUKA!!

barbie said...

woooooow niiiice colors.....wamendeza saaana i hope watfika mbal..mafahali wawil hawakai zizi moja sa cjui wa3 itakuaje..........ol the best warembo

Anonymous said...

Swala la sauti ya Wema kwakweli itabidi wapenzi walikubali juu ndivo ilivo kwa mara ya kwanza mmmh lazima ushange na utaisi anajifanyisha ila thats the she talks. kwakweli mi sio fun wake kiiiivo ila namtetea mana hata mie ilinikwaza 1st tym

Anonymous said...

WOW THAT'S WONDERFUL, I LKE THE BLUE AND RED COLOUR UTAFKIRI LILE TANGAZO LA UJIO MPYA WA DASPARATE HOUSEWIFE MKO JUU SANA. HOPE NA MUVI NI KALI.

Anonymous said...

hata kama ni sauti yake,ila inategemea unacheza character gani.lakini yeye character yoyote ile,sauti ni hiyo hiyo.haipendezi.ni ya kiutoto sana.kama anataka kufika mbali,akubali kukosolewa.na achukulie in a positive way.mfano kim kardashian,sauti yake ni ya ki utoto,ila alipo act kwenye CSI sauti ilikuwa tofauti kabisa,bila shaka director alimuelewesha

cena said...

Zama nimependa sana nguo zao kuna harusi tunatakiwa tuvae blue........
Naomba niulize hizo nguo zao wamenunulia wapi?
Niko serious zama

abdallah mohammed said...

DU NAONA YA KWELI,WAMEPENDEZA SANA NA WOTE NI MASTAA WANAOELEWA KAZI ZAO. ILA KUIMARIKA KWA KUNDI LAO KUNAHITAJI KUWEPO NA UANGALIFU .WAKIWA KATIKA KAZI WAZUNGUMZIE KAZI TU.NAMI NAWAOMBEA MAFANIKIO SANA

Anonymous said...

cover ya ukweli,sijui story ikoje,nachoweza kusema ,tunataka tofauti, pia maadili yazingatiwe, filamu zinaangaliwa mpaka na watoto. basi angalau wafate nyayo kama za kwenye THW DIARY OF TIRED BLACK WOMAN. SALT,nk.

Anonymous said...

hilo cover muonekano wameiga cover ya desperate wifes season 4 ..! wabongo kwa copy paste hatari

Muhanyi Jr said...

Sijui kama watadumu kwa muda mrefu maana makundi ya siku hizi,mhh! kila la kheri kwao.Cover liko pouwa,but isiwe ile ya cover zuri Movie mbovu,maana uzuri wa cover sio maana kuwa kitabu kina utamu ndani kwani vitabu vyenye cover zisizo vutia ndo vinaongoza kuwa na hadithi nzuri.example, AFIRA OLELA.Ni hayo tu.Stay REDS and be a good KOPIAN.NEVER WALK ALONE

Anonymous said...

i do appreciate the cover,so good i like when girls made good things like this big up

Anonymous said...

WAMEDESA DESPARATE HOUSE WIVES.ANYWAY WAMEPENDEZA SANA

Anonymous said...

Kwa kweli wamependeza sana,Nimependa sana mwonekano wao na mavazi kwa ujumla,Hata kama wamedesa ni kwa uzuri kwa kweli.Ila jambo moja tu,Kama kazi basi iwe kazi kweli,Majungu,umbea,usaliti wenyewe kwa wenyewe usiwepo mara nyingi wanawake tukiwa sehemu moja tunakuwa na matatizo.Wapendane kama dada na ndugu watafanya kazi,Pasiwe na aliye juu sana wala chini sana wawe sawa watafurahia matunda ya kazi zao.