Saturday, April 30, 2011

SERENGETI FIESTA FILAMU ARUSHA...

Hii ilikuwa ni jana wakati tumewasili ndani ya A-City!!
Nikiwa na mmoja kati ya washiriki wa serengeti fiesta filamu
Ndani ya Studio za Clouds FM Arush, Zamaradi, Hemed katikati pamoja na DJ Ally kutoka 87.9 Arusha
Mzigoni....

1 comment:

WA UKAE said...

upendeleo huo inaonyesha huyo ni tayari mshampitisha mmechakachua kisa ni mdogo wake sophia kessy